Habarini wadau ninayo shida ya kujua je ! Kuna tiba ya mawe kwenye mfuko wa nyongo tofwauti na upasuaji

Kuna dawa moja ya matunda ya apple za kijani 12, mafuta ya zaituni na juice ya limao nusu glass, yaani siku ya kutumia hiyo dawa mgonjwa hatakula chakula chochote zaidi ya hizo apples za kijani tu, asubh atakula apple 4, mchana pia 4 na uck ndo anamalizia apple Baki pamoja na kunywa nusu glass ya mafuta ya zaituni na nusu glass ya juice ya limao na siku hiyo utashinda kwa kunywa maji zaidi ya Lita tatu,,hiyo usiku baada kutumia hiyo dozi atatalala kwa kujikunja mpaka asubh baada ya hapo utaenda haja kubwa... Hii dawa niliwahi ikuta imepostiwa humu jamii forum for sure ilimsaidia wife ilitakiwa afanyiwe operation ya kutoa hayo mawe lkn baada ya kutumia tukaenda cheki ultrasound hapakuwa na mawe Tena mpka Leo shida iliisha, Ila hiyo dawa
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom