Search results

  1. D

    Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Habari wadau! Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS). NB: Mtumishi huyu alifuata taratibu zote zinazotakiwa wakati wakati wote wa kuomba nafasi hiyo...
  2. D

    Nina shida na mawasiliano ya Katibu Mkuu Utumishi

    Habari.. Ninaomba msaada wa kupata Baruapepe (E-mail) binafsi ya Katibu Mkuu Utumishi, Bwana Juma Mkomi.. Asanteni
  3. D

    Msaada: Mtumishi anayehama kutoka halmashauri kwenda taasisi iliyopo chini ya wizara nyingine

    Hello wana JF, Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa...
  4. D

    Naomba kujuzwa Salary hizi kuanzia PTSS 6 -

    Habari, Naomba kujuzwa Salary hizi kuanzia PTSS 6 - 9.
  5. D

    Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II

    Habari wana JF, Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II.
  6. D

    Wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu?

    Nina dharura, kwa mwenye kujua, wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu yangu?
Back
Top Bottom