Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

Dully4real

Member
May 10, 2015
20
13
Habari wadau!

Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS).

NB: Mtumishi huyu alifuata taratibu zote zinazotakiwa wakati wakati wote wa kuomba nafasi hiyo hadi kwenda kwenye usaili.

Asanteni
 
Kivip yaani? Mimi nimeshahma mara 3 taasisi tofauti sijaomba kila zaidi ya kupeleka barua , halafu HR wa ulipotoka yeye ndio anatuma taarifa zako kwenda taasisi yako mpya .

Hiyo barua ya utumishi ndio kibali chenyewe, taarifa zako zinatakiwa kutoka utumishi na taasisi ya awali kwenda kituo chako kipya. Kama una haraka sana wasumbue haswa HR wa ulipotoka watume taarifa kwenda taasisi yako unayohamia.

Hukuokweny taasisi mpya wao ndio wanakuombea ili uhamishwe huko. Mbaya mimi nilikuwa situmii check number ila HR ndio wanafanya wenyewe mchakato , ulikamilika miezi 4 kuhamishiwa mshahara.
 
No, mimi nina barua ya Ajira kutoka Sekretarieti ya Ajira (Yani zile Nafasi ambazo zinatangazwa na kufanyiwa mchakato wote kupitia Ajira Portal)
 
Barua ndio kibali kama ulikuwa mtumishi wa serikali, HR wanatjua tu wakati wa kukusajili maana namba yako ya fomr four itaonekana imejirudia kweny mfumo.

Hapo unatakiwa kuwapa maelezo maana mtu mmoja anatakiwa kutambulika kweny nafasi moja tu.
 
Habari wadau!

Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS).

NB: Mtumishi huyu alifuata taratibu zote zinazotakiwa wakati wakati wote wa kuomba nafasi hiyo hadi kwenda kwenye usaili.

Asanteni
Hongera kwa kupata ajira kwenye taasisi wala usiwe na was was utahama vizuri tu bila hata kutumia gharama mzee so relax mimi ni mmoja wapo nilipata ajira mwkaa huu mwanzoni kupitia PSRS ilihali nilisha ajiliwa Tamisemi miaka kadhaa imepita. Kwanza baada ya kuchukua barua yako ya ajira pale Asha rose migilo Sekretarieti Dodoma nenda ka report kwenye sehemu yako mpya ya ajira toa copy barua yako mpe HR mwambie una check numbe rna uko utumishi wa umma ma HR wanajua jinsi ya kufanya HR atakuandikia barua kwa niaba yako kwenda Kwa katibu mkuu OFIS YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA kukuombea kubali cha kuhamisha check number yako kwenda tasisi hiyo mpya kwa kipindi chote hicho wakati unasubiri mchakato unapaswa kua kwenye kituo chako cha kazi cha zamani mimi nimekaa miezi mitatu ndio jana nimepigiwa simu hapa Tamisemi ninapofanya kaz kua kuna barua yangu ya SIRI nikachukue kwa hiyo hapo unapofanya kazi sasw hivu hawapaswi kujua chochote we tulia piga kazi barua watatumiwa na katibu mkuu baada ya kukuhamisha. Kuna steps hapo kati siwez andika kila kitu unaweza nicheck inbox tupeane mawasiliano nikuelekeze kitu.
 
Kivip yaani? Mimi nimeshahma mara 3 taasisi tofauti sijaomba kila zaidi ya kupeleka barua , halafu HR wa ulipotoka yeye ndio anatuma taarifa zako kwenda taasisi yako mpya .

Hiyo barua ya utumishi ndio kibali chenyewe, taarifa zako zinatakiwa kutoka utumishi na taasisi ya awali kwenda kituo chako kipya. Kama una haraka sana wasumbue haswa HR wa ulipotoka watume taarifa kwenda taasisi yako unayohamia.

Hukuokweny taasisi mpya wao ndio wanakuombea ili uhamishwe huko. Mbaya mimi nilikuwa situmii check number ila HR ndio wanafanya wenyewe mchakato , ulikamilika miezi 4 kuhamishiwa mshahara.
Sio kweli mimi nimepata ajira mwkaa huu mwezi wa 1 taratibu zimebadirika toka 2021 mishahara inahamishwa na ofisi ya Rais Mwlenejiment ya utumishi na utawala bora so kuna hatua za kufata imenichukua miezi mitatu kukamilisha na jana barua yangu imefika kutoka ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi na utawala bora.
 
Barua ndio kibali kama ulikuwa mtumishi wa serikali, HR wanatjua tu wakati wa kukusajili maana namba yako ya fomr four itaonekana imejirudia kweny mfumo.

Hapo unatakiwa kuwapa maelezo maana mtu mmoja anatakiwa kutambulika kweny nafasi moja tu.
Barua sio kibali barua ni kua umepangiww kituo cha kazi kibali ni kua ulipopangiwa kituo cha kazi ulikutww tayari una kazi nyingine so Katibu mkuu ndio mwenye mamlaka ya kukutoa uliko kukupeleka unapoenda kwa kibali ambacho nakala itatumwa ulipokua unafanya kazi unapokwenda na Hazina na ya kwako pia
 
Sio kweli mimi nimepata ajira mwkaa huu mwezi wa 1 taratibu zimebadirika toka 2021 mishahara inahamishwa na ofisi ya Rais Mwlenejiment ya utumishi na utawala bora so kuna hatua za kufata imenichukua miezi mitatu kukamilisha na jana barua yangu imefika kutoka ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi na utawala bora.
Basi huo ni mzigo mnapewa , jamaa mimi nilihamishwa taratibu wamefanya wao kwa sababu nilipeleka barua ya uhamisho sio mara moja , nimehama taasisi tatu miaka tofauti.

HR ndio kafuatilia kila kitu , kwanza alituma taarifa zangu huko utumishi yeye sikuhusika hata kuandika barua ...NIliendelea kulipwa kwa mfumo awali mpaka yeye alipakamilisha hamna cha maana maana check number ni ile ile.
 
Barua sio kibali barua ni kua umepangiww kituo cha kazi kibali ni kua ulipopangiwa kituo cha kazi ulikutww tayari una kazi nyingine so Katibu mkuu ndio mwenye mamlaka ya kukutoa uliko kukupeleka unapoenda kwa kibali ambacho nakala itatumwa ulipokua unafanya kazi unapokwenda na Hazina na ya kwako pia
HR anakuombea kibali sio wewe mtumishi, kazi ya HR hiyo . Kwanza lazima yeye apate taarifa zako za kuhamishwa unaweza kwenda na barua ila taasisi hiyo haina taarifa juu ya ujio wako.

Ajira ya kwanza wamefuatilia wao mimi zaidi ya kupeleka vyeti, HR ndio anahusika kuomba kibali chako kwenda kutoka kwa katibu mkuu labda kama wamebadili mfumo baada ya kujiridhisha kwa taarifa zao, pia pawe na mawasiliano baina ya utumishi wawe wamepeleka taarifa zako kweny taasisi mpya .

Nilipeleka barua ya uhamisho nikakaa miezi miwili wakasema wao hawana taarifa kutoka utumishi, baadae walinigia simu niende wakanionyesha na taarifa zangu zilizotumwa kama siku tatu nyuma. wao wakaniambia lete vyeti na vitambulisho ili wafanye comparison ila taarifa zote walipewa mpaka file langu..Sikuwa pekeangu mara ya mwisho ilikuwa 2022 , wakasema wanatuombea kibali kipya baadae tulianza kulipwa kwa mwaka wa fedha mpya 2022/23 kweny taasisi hiyo.

Kweny taasisi nyingi ndio hivyo halmashauri sijui taratibu zao.
 
Mzee point yako ya awali hai make sense eti kwamba unaweza ukawa umeenda na barua harafu HR hajui ujio wako are you serious? Ki vip hajui ujio wako ilihali umepata ajira kwa kibali rasmi na bajent yako ipo kwenye ikama ya ajira mpya na sio ya wanao hamia? HR ame request nahitaj mtu wa namna hii Utumishi then sekretarieti inampelekea so unaposema hajui ujio wako sio kweli. Pili yes ulichosema ndio nilichosema mimi kua una report then HR na taasisi hiyo mpya ndio wanakuombea kibali cha kuhamisha check number hicho ndicho nimesema but kusema kipindi chote hicho cha kushughulikia kuhama utakua unaendelea na ajira huko taasisi mpya kama ilivyokua kwako tuseme tu kua issue yako ni unique na huenda ni sababu ya taasisi na taasisi ila kwa mujibu wa sheria na hapa naongea kwa mujibu wa sheria maana tukisema story everyone has a unique story ila now tutakua wote uniform maana now ku ESS huwez enda taasisi mpya ilihali mwajiri wako wa zamani haja approval na kuhamisha mshahara na hawez kuhamisha mshahara had amepata kibali chako cha ajira kua kimehamishiwa taasisi mpya UTUMISHI wameleta System hii ili kuondoa janja janja na kua mambo yote yafanyike kwa mujibu wa sheria. Ukiahama kipindi hiki cha Ess ndo utaelewa ninachokisema maana mifumo yote inasomana kwa sasa. Na hivyo ndio sheria inavyosema so huyo jamaa aende ku report kisha HR wake amuombee kibali kutoka Utumishi na kwa kipindi chote anachosubiri kibali kitoke anaendelea na kazi kituo chake cha zamani hiyo ni kwa mujibu wa sheria la sivyo mwajiri wake akiwa mtata anaweza kumfukuza kwa utoro maana akiondoka atakua amefanya janja janja tu sio kwa utaratibu
 
Ndio , kwanza umeanza lin kuwa kweny ajira?.. Nimeenda mwaka 2022 kituo kipya HR kaniambia hata taarifa kutoka utumishi wao hawajui, hawatujui kabisa hata baadhi ya trainings zao sijafanya kutoka na bajeti mpaka mwaka mpya wa fedha .

Hapo soma mtoa mada amehamishwa , wewe ni ajira za juzi hamna unachojua ,haujawahi kuhamishwa waulize wakubwa wako.

Kama ni ajira za awali lazima majina yapelekwe baada tu ya interview halafu ishu ya kuripot na kuchukua barua inakuwa taasisi husika unayoenda ndio imepanga , kama kuna trainings ni wao wajiandae

HR amechukua barua akasubiri taarifa kutoka utumishi ndio zikafuata process nyingine, nilihama kati ya mwezi wa 2 amabpo mwaka wa fedha unaisha mwezi wa 7 ndio nilijulikana .​
 
Kuendelea kusalia kweny ajira kwa kufanyiwa assessment kila mwaka kupitia performance appraisal pia wanafanya HR kupeleka taarifa zako kipindi cha nusu mwaka na mwaka nzima huko utumishi, ishu hata za mifuko ya bima na pension wanapeleka HR ...Wewe unaadika barua kwa mkurugenzi au HR wao ndio wanapeleka huko juu jaribu kuangalia protocol.

Usienda moja kwa moja kwa katibu mkuu bila kupata ushauri wa HR , labda akuambie yaani uandike barua halafu viongozi wa taasisi yako hawajui kweli?​
 
Ndio , kwanza umeanza lin kuwa kweny ajira?.. Nimeenda mwaka 2022 kituo kipya HR kaniambia hata taarifa kutoka utumishi wao hawajui, hawatujui kabisa hata baadhi ya trainings zao sijafanya kutoka na bajeti mpaka mwaka mpya wa fedha .

Hapo soma mtoa mada amehamishwa , wewe ni ajira za juzi hamna unachojua ,haujawahi kuhamishwa waulize wakubwa wako.

Kama ni ajira za awali lazima majina yapelekwe baada tu ya interview halafu ishu ya kuripot na kuchukua barua inakuwa taasisi husika unayoenda ndio imepanga , kama kuna trainings ni wao wajiandae

HR amechukua barua akasubiri taarifa kutoka utumishi ndio zikafuata process nyingine, nilihama kati ya mwezi wa 2 amabpo mwaka wa fedha unaisha mwezi wa 7 ndio nilijulikana .​
Ndugu yangu kuhama kuna pande mbili taasisi inaweza kukuandikia au wewe mwenyewe ukaandika hapa tunasema ku initiate sasa we unapenda ubishi mimi nimeenda Ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi na utawala bora nimeonana na katibu mkuu Dr Juma alinipa utaratibu mzuri kabisa akasema Taasisi yako mpya inaweza ku initiate au wewe mwenyewe uka initiate ikapitia uliko ikaja hapa ukiwa umeambatanisha barua yako mpya ya ajira na vyeti vyako na barua yako ya kuthibitishwa katika utumishi wa umma na mambo hayo yapo kwa mujibu wa sheria transfer inaanzishwa na wewe au na mwajiri mpya mbona nyaraka ziko wazi soma kanuni za utumishi wa umma sio kubisha tu soma PSO piaaa mambo mbona yako wazii na watu wanafanya taratibu hizo na wanatoboa sababu sheria imeelekeza

Acha ubishi
 
Mbona unasema taasisi yako inaweza ku'initiate yenyewe :D :D , mimi huko sijawahi kwenda maana kuhama ni halali viongozi watajua wenyewe...Kuenda wa katibu ni kufuata huruma na rushwa.
 
Sidhan kama akili yako inafanya kazi sawa sawa ofisi za umma zipo ili zituhudumie pale tunapopata vikwazo unadhani kwa katibu mkuu nimeenda kunywa kahawa au kupiga soga na pili ujue vikwazo na changamoto zinatifautiana kutoka taasisi moja kwenda nyingine usichukue mazingira yako kama bench mark listen unaweza kuajiliwa sehemu X ukafika ukafanyiww figusu mara tunahitaji mtu haraka na wewe una check number utachelewa sana kutu join so rud tu kazini kwako mimi niliambiwa hivyo na muajiri wangu mpya walikua wanataka daktari kwa haraka na mimi ilipaswa nisubiri miezi 3 had Minne kuhamishwa so wakata wawajulishe ajira portal wawapelekee mtu mwingine nikakiwasha had kwa Ofisi ya Rais Utumishi ndio kupewa maelekezo kua hawapaswi kufanya hivyo nenda kawaambie wakuombee kubali cha kukuhamisha na wakusubiri mpaka uhamie hapo. So toa mentality ya kua unapoenda ofisi za umma unatafuta huruma na Rushwa huo ni ujinga na Argument kama hii kutolewa na msomi ni umbumbuuu. There are logical things and critical in thinking if you can't both then pick the either
Mbona unasema taasisi yako inaweza ku'initiate yenyewe :D :D , mimi huko sijawahi kwenda maana kuhama ni halali viongozi watajua wenyewe...Kuenda wa katibu ni kufuata huruma na rushwa
 
Sidhan kama akili yako inafanya kazi sawa sawa ofisi za umma zipo ili zituhudumie pale tunapopata vikwazo unadhani kwa katibu mkuu nimeenda kunywa kahawa au kupiga soga na pili ujue vikwazo na changamoto zinatifautiana kutoka taasisi moja kwenda nyingine usichukue mazingira yako kama bench mark listen unaweza kuajiliwa sehemu X ukafika ukafanyiww figusu mara tunahitaji mtu haraka na wewe una check number utachelewa sana kutu join so rud tu kazini kwako mimi niliambiwa hivyo na muajiri wangu mpya walikua wanataka daktari kwa haraka na mimi ilipaswa nisubiri miezi 3 had Minne kuhamishwa so wakata wawajulishe ajira portal wawapelekee mtu mwingine nikakiwasha had kwa Ofisi ya Rais Utumishi ndio kupewa maelekezo kua hawapaswi kufanya hivyo nenda kawaambie wakuombee kubali cha kukuhamisha na wakusubiri mpaka uhamie hapo. So toa mentality ya kua unapoenda ofisi za umma unatafuta huruma na Rushwa huo ni ujinga na Argument kama hii kutolewa na msomi ni umbumbuuu. There are logical things and critical in thinking if you can't both then pick the either
Wewe muoga hata hujui kazi za HR, kwa akili kila mfanyakazi ajiombee kibali kweli...Fuata protocol kama kuna uongozi bila ya ruhusu yao sio busara kupeleka barua mpaka ngazi za juu kuomba mambo kama hayo.

Wewe unafanya kazi halmashauri au Tamisemi ila taasisi kubwa hawana hizo mambo , HR wanakamilisha kila kitu kama kuna query kweny vyeti ndio unaitwa ..Unaanzaje kuomba kibali wewe ? :D sio kibali ha ujenzi ambachohata kiongozi wako wa mtaa unamshirikisha kabla ya kwenda wizarani.
 
Unaongea kwa akili zako tu kutoka kichwani au unaongea kwa mujibu wa sheria? Usichanfanye mazoea na sheria kanuni za utumishi wa umma ktk circulating letters zimeweka bayana mtumishi kujiombea kibali au kuombewa kibali na kila moja ina taratibu zake so mimi naongea sheria inavyosema wewe unaleta kanjanja siwez kukuelewa let's speak speak kitu ambacho ni law enforced sio eti mimi nilifanya hivi nikafanya vile
 
Back
Top Bottom