Kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi

teniaz

Member
May 6, 2013
39
31
Habari wana jamvi,

Je, kuna kanuni au sheria inayoumzuia mtumishi ambaye si ajira mpya kuhama toka serikali za mitaa kwenda taasisi za seikali mpaka akamilishe miaka mitatu kwa mwajiri wake wa sasa?

Nimepitia standing orders zote na kanuni zake sijaona kipengele cha miaka mitatu kukaa kwa mwajiri wa sasa.

Je, ni kifungu kipi cha kanuni au sheria utumishi wa umma wanatumia kutotoa vibali kwa kigezo cha kukaa kwa mwajiri mmoja miaka mitatu?

Natanguliza shukrani.
 
Soma mkataba/barua yako ya ajira.Kama ina kipengele kinachozungumzia kuhama baada ya miaka mitatu basi hayo ni makubaliano kati yako na mwajiri wako.
 
Back
Top Bottom