Search results

  1. kawombe

    Ricardo Momo ana kipindi kizuri sema mvivu sana. Mtangazaji mwingine akopi kazi zake

    Ni wivu tu Kazi ni kipimo cha utu
  2. kawombe

    Makosa ya kiufundi kumpindua Rais wa DRC ni haya

    Another Takataka tu on air Kazi ni kipimo cha utu
  3. kawombe

    CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    PESA ni yangu unanipangia matumizi?? Samahani ww ni jinsia gani? Kwanza Kazi ni kipimo cha utu
  4. kawombe

    Mtanzania kuwa mzalendo kwa kudai risiti halali ya manunuzi

    Swali!! Muzaji: Hii bizaa bila risiti ni laki 7 ila ukitaka na risiti ni milioni 1. Chagua Kama mteja................ Wewe............................jaza. Mm najaza kwangu BORA LAKI 7. CAG kila mara anatoa ripoti ya uwizi uliopitiliza Lakini kizimkazi yy anachekelea tu. Kwa nn nilipe kodi...
  5. kawombe

    Nina diploma ya Civil Engineering natafuta kazi

    Kazi ni kipimo cha utu!!
  6. kawombe

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Wanakichaa sio bure kabisa!!! Kazi ni kipimo cha utu
  7. kawombe

    Jacob Zuma apigwa chini kushiriki Uchaguzi Mkuu wiki ijayo Afrika Kusini

    Kasahau nn ikulu kwani? Kazi ni kipimo cha utu
  8. kawombe

    Vyombo vya nyumbani

    Dunia ya sasa TANGAZO bila picha/video clip sawa na takataka tu. Kazi ni kipimo cha utu
  9. kawombe

    Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni hatari kwa Afya

    Fisiem ni fisiem tu Kazi ni kipimo cha utu
  10. kawombe

    Niagize chochote Dubai

    Kazi ni kipimo cha utu!! Kanyaga twende tumecheleweshwa mno kama watanganyika.
  11. kawombe

    Ukimuomba hela kila siku hana

    Na kwa nn uombe PESA kila siku. Kazi anakufanyia ww. Kazi ni kipimo cha utu
  12. kawombe

    Mume wangu alinidanganya yeye ni mwanajeshi

    Mambo y FESIBUKU unaleta uku kiongozi. Jipange sw Kazi ni kipimo cha utu
  13. kawombe

    DR Congo: Serikali yasema waliojaribu kupindua Serikali ni Wakongo na raia wa Marekani

    Ajali kazini ipo moja itafanikiwa tu Kazi ni kipimo cha utu
  14. kawombe

    Bei ya Usafirishaji wa Bidhaa za nje ya Nchi zapanda

    Asante mwigulu mpelekee moto kizimkazi mpk ajue hajui. Watanganyika wa mwisho ndio tutakao umia yy hapana. KAZI ni kipimo cha UTU.
  15. kawombe

    Nesi aliyempokea Lissu Hospitalini anadai kuwa Antony Mtaka alimtukana 'Fala wewe' na akamuweka mahabusu siku tatu wakati ni Mgonjwa

    Nikisema hapa kizimkazi hana muda na watanganyika ona alishindwa nn yy kumckiliza? Tena ni mwanamke mwenzie!! Huyu kizimkazi hakuna anacho weza zaidi y kuteua na kutengua TU. Watanganyika tujipange sana kuhusu kizimkazi. Na bado hata sikilizwa kwa uongozi w kizimkazi ila ingekua kwenda nje...
Back
Top Bottom