Ukimuomba hela kila siku hana

mwaya me siwezi kukujudge wala kukulaumu, ila kabla udate mume wa mtu unatakiwa ujue upendo wake huwa ni wa muda siku ukiisha anaenda zake kwa mwingine
hapa wanaume wote watakuchamba kwakua umesema hakupi hela ila aslimia kubwa na wao ni waume za watu na wana michepuko kama yote na wana honga vizuri tu

Ila kama unadate haijalishi unadate mume wa mtu au hajaoa ila ni mtu mko na mahusiano kukuhudumia lazima hata kama hana hela :D :D 2500 hawezi kukupa aah hapana bhana sasa tutaaminije kama anakupenda bwana

alafu ukute ulimzoesha hivyo jikaze tu mwali sio kwa ubaya, huyo ashapata mwingine hawezi tena kukuhudumia mamdogo aunty ondoka kabla upate mimba uwe single mom

achana na waume za watu tafuta kakijana kako kakivuruge mvurugane maisha yaendelee:D:D:D
Tumekusikia wakongwe humu
Umepiga palepale kwenye mshono
Huyu anaweza kuondoka na mimi kwa ushauri wako ila sitaki asije kuniambia siku simpi hela kama zamani wakati nimepata kadogodogo
 
I tried kumuacha but anaomba msamaha with alot of promises na ukishamsamehe anarudia yaleyale

Ww ndo ushaachwa tayar kabla hata ya kuwaza hayo. Kingine unachotafuta ni kuwa singo maza wa baadae, yaan unajua kabsa kuwa ww ni mchepuko ni huyo ni mume wa mtu alaf unataka kujipa nafasi ya mke kweli?

Duuh ivi hyo miaka 5 upo naye kwenye mahusiano mume wa mtu kweli?
Hivi huo muda uliopoteza si ungeshapata mume wako mtarajiwa mkaishi maisha yenu kuliko hicho unacho ng'ang'ania dada.

Au una matatizo nn ndo 7b hutaki kuolewa?
 
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.

Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama washikaji tu baadae tukakubaliana tuwe na mahusiano tumeenda vizuri sana lakini tangu huu mwaka jana mwishoni baada ya kuona am into him mazima jamaa ni kama kachange..

Ukimuomba hela kila siku hana😂😂anaforce fantasy za ajabu ambazo ukikaa ukiwaza unaona kabisa si sawa, hajali tena unaweza mwambia unaumwa na hata asiulize unaendeleaje na wala asitake kujua hali yako unless umkumbushe bdo atajifanya sorry nilipitiwa..

I tried kumuacha but anaomba msamaha with alot of promises na ukishamsamehe anarudia yaleyale

Hii hali imenichosha, amenitoka kabisa kwa sasa natamani kumove on

Nistay single until nipate the right one

Sasa naombeni ushauri je nimwambie au ni move on kimyakimya ye akija kustuka akute mi tayari niko na maisha mengine ama nifanyeje 😒

Msinipopoe wala hata msiulize Id yangu ya samani ni ipi
Id yako ya nyuma tushaijua. Back to topic yuko bsy anahudumia familia yake baada ya kugundua alikuwa na kausha damu
 
mwaya me siwezi kukujudge wala kukulaumu, ila kabla udate mume wa mtu unatakiwa ujue upendo wake huwa ni wa muda siku ukiisha anaenda zake kwa mwingine
hapa wanaume wote watakuchamba kwakua umesema hakupi hela ila aslimia kubwa na wao ni waume za watu na wana michepuko kama yote na wana honga vizuri tu

Ila kama unadate haijalishi unadate mume wa mtu au hajaoa ila ni mtu mko na mahusiano kukuhudumia lazima hata kama hana hela :D :D 2500 hawezi kukupa aah hapana bhana sasa tutaaminije kama anakupenda bwana

alafu ukute ulimzoesha hivyo jikaze tu mwali sio kwa ubaya, huyo ashapata mwingine hawezi tena kukuhudumia mamdogo aunty ondoka kabla upate mimba uwe single mom

achana na waume za watu tafuta kakijana kako kakivuruge mvurugane maisha yaendelee:D:D:D
Kwahiyo upendo wa mtu mnaupima kupitia kukupa hela sana? Kwa stahili hii mtatumika sana aisee
 
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.

Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama washikaji tu baadae tukakubaliana tuwe na mahusiano tumeenda vizuri sana lakini tangu huu mwaka jana mwishoni baada ya kuona am into him mazima jamaa ni kama kachange..

Ukimuomba hela kila siku hanaanaforce fantasy za ajabu ambazo ukikaa ukiwaza unaona kabisa si sawa, hajali tena unaweza mwambia unaumwa na hata asiulize unaendeleaje na wala asitake kujua hali yako unless umkumbushe bdo atajifanya sorry nilipitiwa..

I tried kumuacha but anaomba msamaha with alot of promises na ukishamsamehe anarudia yaleyale

Hii hali imenichosha, amenitoka kabisa kwa sasa natamani kumove on

Nistay single until nipate the right one

Sasa naombeni ushauri je nimwambie au ni move on kimyakimya ye akija kustuka akute mi tayari niko na maisha mengine ama nifanyeje

Msinipopoe wala hata msiulize Id yangu ya samani ni ipi
Hili taifa linalea watoto wakike wapumbavu sana. Ona sasa wewe namna ulivyo mpumbavu, unakuja kulalamika kuhusu mume wa mtu as if ni jambo la kawaida mwanamke kutoka kimapenzi na mwanaume ambaye si mume wake na ni mume wa ndoa wa mtu.

Huu ni upuuzi ujue.
 
Back
Top Bottom