Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings.
Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja.
Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa.
Ongezea tujifunze
If you master writing skills
You become
Expert on
1. Writing proposal
2. Writing articles
3. Writing cover letter
4. Writing social media posts
5. Writing WhatsApp status
6. Writing threads
7. Writing sales letter
8. Blog posts
9. Story writing
10. Ghost writing
Kupata $1 mpaka $5 kwa siku
Ni rahisi ukijifunza hizi skills
1. Audience building
2. Copywriting
3. Sales & Closing
4. Offer creation
5. Affiliate marketing
6. Content creation
7. WhatsApp marketing
8. Persuasion and attention
Zitakusaidia kuuza products nyingi online
Point 40 zitakazokusaidia ufanikiwe haraka kwenye freelancing.
Zote ni muhimu sana, Ukuzingatia
Ni rahisi sana kupata maokoto yako
1. Chagua niche (industry) ambayo ina demand kubwa ya wataalam na ushindani wake ni mdogo sana
Mfano AI, Blockchain, renewable energy, real estate etc
2...
Nafasi za kazi Tigopesa
Unapewa access na training ya kuuza vifurushi na line za lipa namba
Nenda ofisi za tigo shop Tabata bima
Ukifika Tigo shop Tabata bima
Mpigie simu muhusika 0675764477
Atakusaidia
Au mtafute WhatsApp akupatie utaratibu
Wa kuunganishwa.
Ni bure kabisa
Fika ofisini...
Kuna scam moja inatrend
Kuna watu wanajifanya Indonesia (japo ni jirani zetu)
Wanawacheki watu WhatsApp, wanapanga na task za YouTube likes wanawalipa buku buku
Badae wananogewa wanaingia kwenye mtego wa ku deposit pesa kubwa
Nimepokea kesi nyingi WhatsApp
No easy money
Kujifunza skills
Kusoma kozi
Kupata certficate
Sio guarantee pekee ya kupata kazi online
Lazima ujue pia kufanya marketing ya hizo skills
Kutafuta clients, kuwafikia clients walipo.
Mwisho wa siku ujue kuziuza
Wakuu kuna ndugu yangu mmoja.
Ana mtoto wa kike amemaliza kidato cha sita, amepata nafasi ya kwenda chuo lakini amekosa mkopo.
Wazazi wake hawana pesa kabisa ila wana viwanja (kijijini kwao) na mashamba ila hayana thamani kubwa sana.
Sasa wao wanaona kama chuo ni kutoboa maisha mwanamke...
How virtual assistant can change your freelancing business...?
As a virtual assistant, you can provide administrative support to individuals or businesses remotely.
Tasks may include managing emails, scheduling appointments, conducting research, data entry, and more.
Many entrepreneurs and...
People going on YouTube to search "how to make $1000/m with freelancing ten minutes video"
Instead
"How to build a successful freelancing career three hours video"
Everything starts with your mindset
Invest your time to get free value
Invest your money to get premium value.
Dunia hii bhana haina huruma
Haijui umesoma nini, unajua nini, una magumu gani.
Usipojihangaisha inakupiga kweli
Hakuna atakayekuonea huruma
Kuna watu wanasema mimi nimesoma injinia siwezi kufanya kazi za darasa la saba
My friend kuwa makini maisha ni magumu kuliko unavyofikiria
Nimetembea...
Kuna jambo nimeliona kwenye ndoa zetu hizi linachangia kiasi kikubwa tukose hata nguvu ya kumridhisha mwanamke
Unaamka asubuhi unaambiwa sukari, sabuni, mafuta mchele takataka zote hamna unaacha elf kumi+
Ukirudi jioni tu saa kumi utaambiwa nilisahau mkaa, kingamuzi, na mafuta yamebaki kidogo...
Kwanza freelancing ni kufanya kazi za nje kupitia platform za kazi kama Upwork na fiver
Kitu cha kufanya tafuta digital skills (ujuzi)
Wowote ule ambao unaweza kujifunza kwa kutumia computer
Kitu cha pili anza kutafuta wateja wa huo ujuzi au kutafuta kazi mitandaoni kupitia hayo majukwaa ya...
Fanya utafiti (Research) katika platform tofauti za freelancing au sehemu ya kuuza ujuzi wako
(zipo zaidi ya 100)
Uchague sehemu chache na Uzifanyie kazi.
Mfano:
Upwork, @fiverr, linkedIn, #Guru n.k
Usikimbilie kuanza kabla hujajua sehemu ipi inakufaa kulingana na skills
Mods msifute uzi...
Nimegundua watu wengi sana wanaoumwa magonjwa yasiyoambukizwa kama pressure, kisukari, miguu kuvimba, figo, ukosefu wa nguvu za kiume, wanawake kushindwa kufurahi tendo.
Chanzo kikubwa ni unene
Kwahiyo katika mishe zako jitahidi ucontrol hayo matatizo ya unene na uzito uliopitiliza
Njia ngumu...
Asilimia 95 ya biashara zinazoanzishwa zinakufa ndani ya mwaka mmoja
Asilimia tatu zinakufa ndani ya miaka mitatu
Asilimia mbili tu ndo zinafanikiwa
Kuna sababu kuu tatu zinazoua biashara
1. Kufanya biashara za kuigana bila kufanya utafiti wa kutosha
2. Kudharau technologia unakuta mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.