Unadhani shida ni skills, ila how to monetize them tena kwa ukubwa wa kuweza kuishi comfortable life. Sio rahisi mkuu haswa kwa bongo maana wengi wanapenda price ndogo kwa vitu vikubwa ndio maana wajanja wanajaribu kufanya kazi online na mashirika ya nje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.