Jina gani la bar umewahi kukutana nalo?

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,256
2,928
Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana

Nitaanza na mfano

1. Kidimbwi
2. Toroka uje



Weka jina unalofahamu
 
Matako Bar duh hii bar ni hatarii wahudumu wametuna nyuma kishenzi, sijui kuajiliwa pale wanaangalia matako duh! Matako bar ni noma
 
Kuna majina mengi ya bar ya ajabu mengine yana maneo makali sana

Nitaanza na mfano

1. Kidimbwi
2. Toroka uje



Weka jina unalofahamu
KITOBO - Arusha

TOROKA UJE GROCERY- Arusha

CHEKA UNG'ATWE BAR- Majengo, Arusha

KWETU PAZURI BAR - Arusha

ZIMA TAA BAR - MOSHI

MAKENDE BAR - DSM
 
Back
Top Bottom