Kwa tunaotaka kuanza freelancing

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,256
2,931
Fanya utafiti (Research) katika platform tofauti za freelancing au sehemu ya kuuza ujuzi wako
(zipo zaidi ya 100)

Uchague sehemu chache na Uzifanyie kazi.

Mfano:
Upwork, @fiverr, linkedIn, #Guru n.k

Usikimbilie kuanza kabla hujajua sehemu ipi inakufaa kulingana na skills
20230226_143712.jpg

Mods msifute uzi wangu tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom