Search results

  1. uhurumoja

    Huenda Karia kaamua kuiabisha ligi yetu

    Ndugu zangu wanayanga na watz wengine wenye mapenzi mema na mpira wa nchi yetu Wote Leo tumeshuhudia mechi ya nusu final Crdb ukienda live hewani kutokea pale Geneva ya afrika (Arusha) Ndugu zangu ule uwanja ulikuwa ni tusi aibu na fedheha kwa soka la nchi yetu Siwezi andika mengi lakini ule...
  2. uhurumoja

    Hivi Kuna league ya mpira duniani inayopita vibe la bundesliga kwa upande wa mashabiki

    Hawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani. Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale Signal iduna kuangalia mechi Moja.
  3. uhurumoja

    Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

    Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi...
  4. uhurumoja

    Hii game ya Usma na Berkane itakuwa kipimo tosha Cha uhuru wa CAF ya Motsepe

    Kwa mara nyingine siasa zimeingilia hii game tutaona kama ni team zitafungiwa au ni nchi zitafungiwa jumla Au wataogopwa vile ni waarabu maana ingekuwa nchi kama tz Motsepe na genge lake wangeandika barua ya adhabu usiku huu huu Hii mechi haipo Dreams Zamaleki atangazwe bingwa
  5. uhurumoja

    Kwa hizi mvua mechi zote zilizobaki zichezwe Chamazi au Mkapa

    Jana tumeona mechi ya Yanga na JKT ikiahirishwa maana uwanja ulikuwa haitamaniki maji, kila sehemu na utelezi wa kutosha (bila shaka JKT walitaka wachezaji wa Yanga waumie). Leo mvua ni kubwa kuliko jana, sijui mikoani hali ikoje ila mechi zilizobaki zingepigwa chamazi, Mkapa, kaitaba, labda na...
  6. uhurumoja

    Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  7. uhurumoja

    Replacement hii haizungumzwi sana pale Yanga

    Anaitwa Jawab raia wa Morroco huyu ni kocha wa viungo pale Yanga jamaa amefanikiwa sana kujenga stamina ya team kifupi ameendelea pale alipoishia prof manywele ambae kwa uhalisia alifanya kazi nzuri sna Ukiondoa mpango kazi wa azam kuumiza wachezaji wetu lakini wachezaji wamekuwa na physic...
  8. uhurumoja

    Wakuu hivi league ya NBC IPO ama imefutwa

    Wakati league zingine zikipamba moto duniani kule Ujerumani wakijiandaa kuandika historia baada ya kijana aliyeishi viunga vya bayern Munich na kuiba mbinu zao akiwapa Bayer Leverkusen kombe gumu kabisa la bundesliga na pale Uingereza Klop anataka aondoke kwa heshima mambo ni tofauti hapa kwenye...
  9. uhurumoja

    Yanga yaongoza kwa takwimu za kufuatiliwa JamiiForums

    Club ya Young Africa inaongoza kwa takwimu za kufatiliwa JamiiForums dhidi ya mshindani wake Simba. Upendo, uchangiaji pamoja na jicho yanga inaonesha kuwa mbele sana dhidi ya Simba. Ingawa hadi Sasa team inayoongoza ni Manchester united ya Uingereza lakini wachambuzi wa mambo wanasema forum...
  10. uhurumoja

    Mageti ya uwanja wa Mkapa kuwa na rangi nyekundu ni makusudi?

    Wakuu nimefatilia na kuona mageti ya uwanja wa Taifa kuwa na rangi nyekundu nawaza kwa utulivu, hii sio kwamba TFF na wizara kuongozwa na Wana Simba imechangia hali hiyo? Kama MZALENDO wa nchi nataka kuona yale mageti yanapewa rangi neutral ili kuepusha mgongano USHINDI KWA YANGA LEO LAZIMA.
  11. uhurumoja

    Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

    Title iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
  12. uhurumoja

    Moja kati ya siku ngumu kwa Cercei Lannister

    Hii ni siku ambayo Cercei alienda kusikiliza hukumu yake na mfalme ambae alikuwa ni kijana wake akafanya maamuzi kuwa mama yake ana makosa na kesi yake itaamuliwa sio kwa trial by combat. Hii ilimfanya baadae Cercei aje na mpango uliowafuta kabisa wale waliokuwa mahakamani kwa mlipuko mkali na...
  13. uhurumoja

    Uwanja wa JKT ni bora sana

    Baada ya kuona pitch ya JKT nadiriki kusema ndio pitch bora kwa Sasa nyuma ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  14. uhurumoja

    Sioni umuhimu wa uwanja kwa yanga

    Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center nzuri itakayokuwa na hostel nzuri za pre season hospital ndogo ya kuhudumia wachezaji na wafanyakazi...
  15. uhurumoja

    Benchika, kocha mwenye bahati zaidi Tanzania

    Tangu aichukue Simba kutoka mikononi mwa Tinhowanaman Benchika amepata draw nyingi sana ndani ya mda mfupi draw hizi amezipata kwa team ndogo na za kawaida kabisa kama Namungo,Jwanengy,Azam na vipigo vya hapa na pale mfano kile Cha Mlandege (team dhaifu zaidi) na Wydad mbovu Pamoja na matokeo...
  16. uhurumoja

    Cape Verde kajua Kutumia AFCON

    Kuliko mataifa mengine yote cape Verde itapokea watalii wengi sana kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wataenda kuyaona Yale maua live. Japo wengi wanawapongeza wa SA kwa ushindi ila wengi wanasikitika kuwapoteza wale warembo kwenye TV zao kuanzia Jana sasa tutaendelea kumuangalia "Mama...
  17. uhurumoja

    Endapo Yanga na Simba zitakutana Final Mapinduzi cup

    Endapo Yanga na Simba zitakutana Final ya mapinduzi hiyo trh 13 basi itakuwa ni derby ya 3 ndani ya mda mfupi na wachunguzi wa masuala ya mpira wakiongozwa na Eddo Kumwembe wanasema huenda team hizi zikakutana nusu final ya Cafcl Hii mi naona inapunguza heshima ya derby hasa ikichukuliwa kuwa...
  18. uhurumoja

    Nimeingia mtandao wa X (Twitter)na kuondoka mwenyewe

    Yah sio mara ya kwanza kujiunga na mtandao wa X hii ilikuwa mara ya pili nikiamini labda mda huu ninaweza kumudu ila nikashindwa tena. X Kuna negativity sio za dunia hii. X kuna majadiliano yenye kuumiza na kuvunja sana moyo eg mgogoro wa Palestine na kule Nigeria north unaona yanayotokea hadi...
  19. uhurumoja

    Mapinduzi Cup

    Kwa wale wanaofatilia haya mashindano yenye ukwasi wa milioni 100 kwa mshindi wa kwanza na 80 kwa wa pili ambayo yameanza Leo wawe wanaweka updates hapa ili sisi watumiaji wa Dstv tujue Nini kinaendelea Mfano Leo bingwa wa mashindano hayo msimu huu kacheza na bingwa wa msimu uliopita je nani...
  20. uhurumoja

    Nilivyonusurika kifo Beit bridge

    Nimeona watu wakishare namna walivyopambana na baadhi ya matukio katika maisha Yao nami nimeona sio mbaya Leo nikaeleza namna nilivyonusurika kifo katika harakati za kutafuta maisha. Mwaka 2007 nikiwa kijana mdogo 18yrs niliamua kwenda kutafuta maisha South Afrika nikitokea Dar na hii ni baada...
Back
Top Bottom