uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 5,941
- 11,043
Wakati league zingine zikipamba moto duniani kule Ujerumani wakijiandaa kuandika historia baada ya kijana aliyeishi viunga vya bayern Munich na kuiba mbinu zao akiwapa Bayer Leverkusen kombe gumu kabisa la bundesliga na pale Uingereza Klop anataka aondoke kwa heshima mambo ni tofauti hapa kwenye league ya karia na kasonzo wazee wa "unajuwa"league ni kama haipo tena IMELALA IMEKWAMA na hakuna mechi Wala tetesi za mechi hii league vipi!?