Search results

  1. M

    Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Haaahaaa!! Kama Feisal alivyoamua kupoteza Penati, halafu hata HAKUONYESHA KUSIKITIKA
  2. M

    Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Hapo kwenye kuuza haikwepeki, uongozi wa Azam usipouza basi wachezaji wa Azam ndio watakaouza. Feisal na wenzake
  3. M

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Mzee Abdalah Majurah Bulembo ni mtu muelewa sana kisiasa na kimaadili . SIJUI NI KWANINI WATOTO WA VIONGOZI WAZURI HUWA HAWAWI WAZURI KAMA WAZEE WAO. KIDOGO RAIS WA ZANZIBAR YEYE AMEWEZA
  4. M

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  5. M

    Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
  6. M

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    HALAFU WATU WA AINA HII HATA HUKO KWENYE VIKAO VYA KAZINI KWAO HUWA WACHANGIAJI SANA WA MADA, YAANI HATA MADA AMBAYO HANA UTAALAMU NAYO HUWA ANANYOOSHA MKONO. Na ni wajanja balaa, wanachanganya na kiingereza ili kuwateka kabisa muamini hoja zake NA MSIPOKUWA MAKINI MNAMUAMINI HALAFU...
  7. M

    Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

    Bora tope kuliko wewe kichwa kimejaa ushu----
  8. M

    Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

    Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi? Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani...
  9. M

    Miguel Gamondi kwenda Kaizer Chiefs?

    Ujuaji mwiiingi na kakingereza kako. Forum hii inatumia kiswahili 99.9% halafu wewe unajidai ni familia ya Malkia wa England. Anyway hivi unatoka Kagera sehemu gani pale. So far wewe unajisikiaje kuona mafanikio ya Gamondi tofauti na RAMLI YAKO ULIYOPIGA
  10. M

    Huenda ni kweli yanayosemwa juu ya FEI

    Vinywa vya mashabiki wa Simba vimejaa matusi tu. Hata mtaani ndio wanaoongoza kutukana. HAKIKA KIPAJI MNACHO
  11. M

    Huenda ni kweli yanayosemwa juu ya FEI

    Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI. NIMESHAWISHIKA LEO KUAMIN
  12. M

    FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    Tatizo wachezaji wazawa karibia wote mioyoni mwao ni Simba na Yanga. Kwahiyo wapo wachezaji ndani ya Azam wanaoiombea Ushindi Simba na wapo wanaoiombea Mabaya. Hivyo lolote linaweza kutokea hata kusababisha penalty kwa makusudi. Pia Tff ya Karia haiwezi kukubali Simba ifungwe leo. Tutarajie...
  13. M

    Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    Ahmed Ali angekuwa hajasoma na kupata kazi nadhani angekuwa mmojawapo wa hawa vijana wa Kariakoo wanaotuuzia simu za WIZI.
  14. M

    Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  15. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    XI Jinping hapo atakuwa anamuambia Macron kuwa Putin anasema unachokitafuta utakipata soon
  16. M

    Tetesi: Ibenge kutua Simba kuchukua nafasi ya Benchika

    Simba wana dharau sana. Yaani ni kama mwanaume kila anapofukuza mke anavuta house girl hadi mke mwingine atakapopatikana.
  17. M

    Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Makonda kafanikiwa kuionyesha dunia sura na tabia halisi za vijana wa Arusha. Nimemuelewa sana Makonda
  18. M

    Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Mpo nyuma sana ya wakati . Mtu ambaye yupo smart kichwani hawezi kupenda tabia za vijana kama hao. Kuna UBWEGE MWINGI SANA NA ULOFA KWA VIJANA WA ARUSHA . Na ndio mkoa wenye historia ya kijana aliyepata hela za Tanzanite akapanda ghorofani na kuanza kurushia watu hela. NI UBWEGE TU
Back
Top Bottom