Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,377
4,939
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.

Tulichoshuhudia MUNGU anajua.

2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu anawaona.

3. Tuliposikia kuwa ni Samuel Etoo ndie aliwashauri kumsajili ONANA kwa kweli tulijisemea mioyoni kuwa Simba inatakiwa kumuombea ulinzi wa serikali.

Kumbe Etoo aliyeshauri ni huyu mchambuzi mswahili anayejiita Alex NGEREZA

IMAGINE Ahmed Ali na wenzake itokee wateuliwe na serikali kuwa wajumbe wa mambo ya maafa ITAKUAJE hapo. Ni hatari maana wanaweza kuwaaminisha wananchl UONGO hadi kusombwa na mafuriko.
 
No 1 na 2 umechemka,hata Robertinho alisema wachezaji waliosajiliwa wenye viwango ni wawili 2 Ngoma na Chemalone.
Ngoma ni kiungo mchezeshaji kuhusu kufungwa magoli mengi tatizo ni combination aliyopata.
Inonga hakuwa tayari kujitolea kwa Simba Kama anavyojitolea timu ya Taifa pia amechomesha magoli mengi.
Kapombe na Shabalala wamefanya makosa mengi na Chemalone muda mwingi amekuwa anacheza eneo la shabalala. Makosa mengi ya kiulinzi Kama ya Kennedy, Hamisi Kazi pamoja na makipa yamechangia magoli mengi hivyo huwezi moja kwa moja kumlaumu Chemalone.
Usajili uliofanyika haykuzingatia mapungufu yaliyokuwepo na Hilo ndio tatizo kubwa la Simba .
 
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.

Tulichoshuhudia MUNGU anajua.

2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu anawaona.

3. Tuliposikia kuwa ni Samuel Etoo ndie aliwashauri kumsajili ONANA kwa kweli tulijisemea mioyoni kuwa Simba inatakiwa kumuombea ulinzi wa serikali.

Kumbe Etoo aliyeshauri ni huyu mchambuzi mswahili anayejiita Alex NGEREZA

IMAGINE Ahmed Ali na wenzake itokee wateuliwe na serikali kuwa wajumbe wa mambo ya maafa ITAKUAJE hapo. Ni hatari maana wanaweza kuwaaminisha wananchl UONGO hadi kusombwa na mafuriko.
Kwa ngoma umechemka pakubwa sana Simba Ina tatizo la uwiano wa viwango vya wachezaji.Yaani kwa Simba hii hata aje ronaldo ni yaleyale
 
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.

Tulichoshuhudia MUNGU anajua.

2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu anawaona.

3. Tuliposikia kuwa ni Samuel Etoo ndie aliwashauri kumsajili ONANA kwa kweli tulijisemea mioyoni kuwa Simba inatakiwa kumuombea ulinzi wa serikali.

Kumbe Etoo aliyeshauri ni huyu mchambuzi mswahili anayejiita Alex NGEREZA

IMAGINE Ahmed Ali na wenzake itokee wateuliwe na serikali kuwa wajumbe wa mambo ya maafa ITAKUAJE hapo. Ni hatari maana wanaweza kuwaaminisha wananchl UONGO hadi kusombwa na mafuriko.
Ahmed Ally ni miongoni mwa viongozi wanaoihujumu Simba. Kuwapa watu matumini hewa ni Sawa na uchawi.
 
Back
Top Bottom