Iliwahi kunitokea kwenye Taasisi moja ya pruvate,nikamrecord yule Mdada bila yeye kujua,then baadae nikatafuta number yake nikamtumia crip,Kbla sijairusha kwa wakubwa. zake, alikuja kwangu anatembelea magoti akiomba msamaha. Sema alishanisababishia hasara na nikamwambia ni too late, alipigwa...
TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI.
Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
Hakuna kitu kama hicho, utawashika masikio wasio jua Sayansi ya utengenezwaji wa yai. ni sawa sawa kabisa na kusema MWanamke ndani ya mezi 9 kajifungua mara 3 kitu ambacho hakiwezekani na wala hakipo. Unajua yai moja huchukua masaa ngapi kukamilika kutengenezwa?
Kuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya maendeleo ya watu na miradi ya maendeleo ya vitu ili kupunguza umaskini wa vipato.
Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuja juu sana kwa swala zima la ukuaji wa uchumi, na hii inachochoewa na kasi ya maendeleo hasa hasa miundo mbinu, Tuna miradi mingi sana ya...
TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA
Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili.
Watanzania wengi hatuna elimu ya kifedha nikiwemo mimi ninaye andika hii story. tusichanganye...
Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani 26,000 mwaka 2023 kutoka tani 16,000 mwaka 2021/2022.
Ukilinganisha na miaka ya nyuma, kilimo cha...
Mkuu Maendeleo ya sayansi kwa sasa inabidi hata baadhi ya shule zifungwe, Kinacho takiwa ni uwekezaji kwenye Sayansi, MWalimu mmoja anaweza kaaa Dodoma akatoa mafunzo kwa shule zote nchi nzima. Binafisi hata shule za secondary za Kata naona ni kuharibu Aridhi
Mkuu, nazungumzia swala zima la kuoambana na utaoia mlo, yes nyama imejaa, ila nyama ni ghari sana, nyama mifugo inaharibu mazingira sana, nyama sio salama pia kwa sasa, Mifugo inapewa madawa sana hasa hizi antbiotic.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.