Search results

  1. AljuniorTz

    House4Sale Nyumba Inauzwa Full Shangwe Kigamboni

    Nyumba ina vyumba vinne kimojawapo ni self, ukumbi wa kukaa na ukumbi wa kulia chakula, jiko stoo, n.k. Nyumba imebakia kuezekwa/kupiga bati. Ipo mita 300 kutoka barabara kuu jirani na shule ya Aljebra. Ina nyaraka ya manispaa ya Temeke, mwenye kuhitaji tuwasiliane 0713487490, karibuni.
  2. AljuniorTz

    Prescott Bush: The Nazi-Bush Connection

    Prescott Bush was part of a large banking group that funded the Nazi party and the uprising of the Third Reich. Prescott Sheldon Bush (1895-1972) married George Herbert Walker's (1875-1953) daughter Dorothy Wear Walker (1901-1992) in 1921 and she was renamed of course, Dorothy Wear Walker...
  3. AljuniorTz

    Buriani: John Ngahyoma

    Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la BBC; John Ngahyoma amefariki dunia hospitalini leo asubuhi, maziko yake yatafanyika nyumbani kwake Tabata Segerea. Ngahyoma kabla ya kuwa mtangazaji wa BBC aliwahi kufanya kazi ya Radio One na ITV.
  4. AljuniorTz

    CIA’s Daily Menu: 5mln Foreign Tweets!

    Kwa wale wanapenda kuropokwa maneno yasofaa, jamaa wapo kazini 24/7 ukija kukosa viza ya kuingia state usishangae; kumbe kuna mahala uliharibu na wenyewe wakakuona. CIA
  5. AljuniorTz

    ITV/EATV/Channel TEN & STAR TV HAZIPO HEWANI KTK DISH

    Nawataka radhi km nimerudia post Naomba kama mtu anafahamu hizo chaneli tajwa hapo juu iwapo wahusika wamebadilisha Frequency zao kwa wale wanotumia Satellite Dish. Ilianza kupotea channel TEN, ikafuata Star TV na kuanzia last week ITV/Capital na EATV(wote wapo pamoja), hazipo hewani. Sina...
  6. AljuniorTz

    Ubaya wa Kujifanya Mume Mwema

    Mke wa Kelvin anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi mademu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na kurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia kwa kuwa anachoka na kazi, je ni mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha mtoko (outing), Kelvin...
  7. AljuniorTz

    Elections 2010 Funga Kazi Zanzibar

  8. AljuniorTz

    Moto Waripuka Kasulu

    Moto mkubwa umeripika ktk sheli ya mafuta kasulu mjini mida ya saa 12:30 jioni, mpaka sasa hakujawa na taarifa rasmi ni watu wangapi wamekufa au kujeruhiwa ila moto bado uanendelea kuwa japo kasi yake imepungua kwa kiasi kikubwa. Hotel ambayo nimefikia (Mara Lodge) imeponea kwa kudra za mungu...
  9. AljuniorTz

    Elections 2010 Voters registration

    Wadau katika pitapita zangu ktk mtandao wa tume ya uchaguzi, nimkutana na kitu hiki hapa chini: - http://www.nec.go.tz/?modules=registration⊂ MTAZAMO WANGU 1: Kwa nini hadi sasa siku 27 kabla ya uchaguzi hawaja-update ktk database idadi ya wapiga kura kwa mikoa yote? au ndio maadalizi...
  10. AljuniorTz

    Elections 2010 Uchaguzi 2010: Wafungwa na haki ya Kupiga Kura

    Wananchi wenzangu kuna suala nahitaji tuliangalie kwa uzito wake; je ktk uchaguzi wa mwaka huu wafungwa watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani? Mwanzoni mwa mwaka huu nilibahatika kutembelea gereza fulani hapa nchini; ktk mazungumzo yetu (nilikuwa na baadhi ya staff members) na mkuu...
  11. AljuniorTz

    Bundesliga Is Most Profitable than Premier League

    The German Bundesliga has overtaken the English Premier League as the most profitable in the world, according to financial analysts Deloitte. Kwa habari zaidi bofya hapa Bundesliga overtakes Premier League as world's most profitable - CNN.com
  12. AljuniorTz

    Dengue Hemorrhagic Fever

    Wandugu, katika pitapita yangu mtandaoni kuna ugonjwa huo uliotajwa; na kwa habari zilizopo umeshaingia Tanzania hasa hapo D'Salaam na kule nyumbani visiwani. Kuna watu zaidi ya 10 washaambukizwa huu ugonjwa, ambao huenezwa na mbu abebae Dengue virus (DENV), na mbu huyu hata mchana kweupe...
  13. AljuniorTz

    An amazing Love Story

    He met her at a party.. She was so beautiful, many guys were chasing after her, while he was so plain and simple, nobody paid attention to him. At the end of the party, he invited her to have coffee with him, she was surprised, but to be polite, she consented. They went to a nice coffee shop...
  14. AljuniorTz

    Leadership ethics: The integrity capacity challenge

    Kwa wale wenye kutarajia kuwa VIONGOZI, kugombea Ubunge, Udiwani, Urais na hata katika ngazi ya familia nyumbani. Ushauri wa bure huu hapa chini ktk attachment. Mbarikiwe sana na Amani iwe nanyi
  15. AljuniorTz

    The Evil You Do Remains With You: The Good You Do, Comes Back To YOU!!!

    A woman baked chapati (bread) for members of her family and an extra one for a hungry passerby. She kept the extra chapati on the window-sill, for whosoever would take it away. Everyday, a hunchback came and took away the chapati. Instead of expressing gratitude, he muttered the following words...
  16. AljuniorTz

    ECL: Barca, Liver, Bayern ktk hatihati

    LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea Juma4 na Juma5 huku timu tatu kubwa na maarufu zikiwa katika hatari ya kuondolewa katika michuano hiyo mapema. Timu hizo, bingwa mtetezi Barcelona, Liverpool ambao wameshinda taji hilo mara tano na Bayern Munich ambao ni washindi mara nne zinakabiliwa na...
  17. AljuniorTz

    Mahujjaji Wa4 WAFA kwa H1N1 - MECCA (SA)

    Saudi Arabia reports first H1N1 deaths among pilgrims RIYADH, - Saudi Arabia said on Saturday four pilgrims had died of the new H1N1 flu virus three days before the massive Muslim haj is due to begin, al-Hayat newspaper said. The Health Ministry said the deaths were among pilgrims who came...
  18. AljuniorTz

    Usafiri wa Kigoma na Mikoa ya Jirani Mashakani

    Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini; Wakazi wa Mkoa wa Kigoma na wale waliojirani na mkoa huo wapo njia panda baada ya barabara kuu ya magari kuingia mkoani humo kupitia KIBONDO - KASULU - KIGOMA kuharibika na kupelekea baadhi ya magari kukwama hasa magari makubwa ya mizigo na...
  19. AljuniorTz

    9 Things that Zap your Energy!

    It's 3 p.m.-- do you know where your energy's gone? Do you know why are you feeling so tired? You probably expect to feel that late-afternoon drag, but you don't always have to. Turns out, some of your regular habits may be sneakily zapping your zip and draining yuor energy. Fix some or all of...
  20. AljuniorTz

    Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

    Fresh hope as Karume meets Hamad Early signs of thawing relations between Zanzibar's main political adversaries emerged yesterday with a rare meeting between President Amani Abeid Karume and his longtime rival and critic...
Back
Top Bottom