AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 17
Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini; Wakazi wa Mkoa wa Kigoma na wale waliojirani na mkoa huo wapo njia panda baada ya barabara kuu ya magari kuingia mkoani humo kupitia KIBONDO - KASULU - KIGOMA kuharibika na kupelekea baadhi ya magari kukwama hasa magari makubwa ya mizigo na abiri. Barabara hiyo ni ya udongo wa mfinyanzi ambayo haina hata changarawe
Angalia picha hapo chini.
Truck imeziba njia baada ya kushindwa kupandisha mlima na kurudi nyuma, sababu ya utelezi.
Hapa hakuna safari mtu wangu.
Huyu suka alitaka kuuwa wingi ya kushoto ili akawahi kulala kigoma akitokea Dar, but gari ikatitia udongoni haendi mbele wala harudi nyuma.
No way!!!
Hili soo ni tangu asubuhi ya leo na hadi narusha story jioni hii.