Search results

  1. T

    Viwanja vinauzwa Mbagala kongowe

    Viwanja vinauzwa mbagala kongowe Viwanja vimekatwa mara tatu ukubwa Kwa vipimo ni mita 24 * 19 Kila kimoja Viwanja vyote vipo ndani ya fensi upande mmoja Bei Kwa Kila kiwanja kimoja ni 10million Tsh na maongezi yapo Kwa mbaaali. Kwa mawasiliano Piga namba hizi 0688685707 0659446209...
  2. T

    Pharmaceutical Techinician ninatafuta kazi kwa jasho na damu

    hali ni tete wadau halimanusra nijute kuzaliwa mtoto wa kiume! naitwa torvic jinsia ni mwanaume nimesoma Diploma in Pharmaceutical Science nina leseni ya baraza la famasi inahitaji ku re-new uzoefu wa kazi upo kwa mwaka angalau naishi Dar, (kazi ikipatikana dar itafaa zaidi) ninauhitaji...
  3. T

    kinahitajika chumba cha kupanga

    Habari, kinahitajika chumba cha kupanga selfcontainer / master, kodi ya 100,000 kwa mwezi. maeneo ya mwembeyanga, tandika magorofani karibu na chuo cha bandari.
  4. T

    Baadhi ya wanawake kama Panya Road

    Panya Road nia zao mbaya ni pamoja na kuiba, kupora, kusumbua jamii na kuuwa. lakini panya road wanafanya hivyo kwa direct way. yani watakuwa presentable kwa kile kibaya wanachofanya. Najiuliza... Hivi hawa wanawake wa siku hawawezi kuwa panya road wanaofanya kazi undercover kama wale CIA...
  5. T

    Beef zilizotikisa vikundi vya hip hop kwa enzi zile

    Wadau, Nianze na motive yangu ya 2022 UTAJIRI NI SIRI NA SIRI NDIO UTAJIRI WENYEWE Twende madani, mashabiki wazamani wa hip hop wanajua kulikuwa na vikundi vya hip hop matata sana na vilikuwa vina moto na amsha amsha nyingi sana kwa kipindi iko. Kuna vikundi kama Kikosi cha mizinga chini ya...
  6. T

    Natafuta duka la dawa la kununua

    Habari zenu, Naitaji duka la dawa la kununua. Likiwa Dar es Salaam itafaa zaidi Mawasiliano; 0747182280
  7. T

    Wakuu, ushauri na mawazo yenu yanahitajika

    wakuu habari zenu Msaada wenu unahitajika sana, Nina mdogo wangu amesoma famasi ana diploma yake na kutokana na ugumu wamaisha kupata ajira imekua shughuli pevu mdogo wangu huyu ameamua kujiajiri kwa kutafuta kaeneo kake afungue angalau duka la dawa muhimu. Mimi kama kaka yake nimekuballiana...
  8. T

    Msanii wako bora wa mwaka 2021 kwenye Bongo Flavour

    Heri ya Chrismas na Mwaka Mpya! Nianze kwa kusema mimi siyo shabiki wa Bongo flavour napendelea sana Hip Hop na Jazz lakini hapa acha nitoe hii tathimini yangu kwenye Bongo Flavour kwa mwaka 2021 ambao tumeacha siku chache kuumaliza. Kwenye muziki wetu huo naona jamaa Marioo amefanya vema sana...
  9. T

    Naombeni kufahamishwa shule za serikali za boardig kwa primary

    Ndugu zangu kuna jambo limenishangaza au labda mimi ndiyo sijui, Nilikuwa natafuta goverment primary boarding schools za hapa nchini kwetu kwa kweli nimezurula sana kwenye mtandao lakini sijaambulia kitu Sasa ndugu naombeni msaada wenu kunijulisha kama kuna shule hizo za primary boarding...
  10. T

    "Based on true story" movies

    Wadau, True story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku, Weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya ukweli kabisa. List yangu fupi kuna; 1. Beautiful mind 2. Persuit of happiness 3. Titanic 4...
  11. T

    Ulikua kikojozi utotoni? Hebu njoo hapa...

    wakuu! najua mpooo! wale tulio imbiwa kindumbwe ndumbwe chaaalia! kindumbwe ndumbwe chaaalia! kikojozi na nguo kaichoma moto huyoooo! 😂😂😂 nimekumbuka enzi hizo mtaalamu nilikua naachia kojo sana! mpaka nikawa najikataa, usiku ukifika sinywi maji wala cha juice lakin bado nilikua naliachia kojo...
  12. T

    Tukumbushe jina lako la utani

    Ebu tufanye kama tunakumbushana majona yetu ya utani tuliyopewa shule uko au mtaa wakati huo upo mtoto, Haha, nakumbuka mimi binafsi nilikuwa na majina mengi sana ya utani na ilitokana na ka mwili kangu nilikuwa mwambamba kinoma :D:D:D KIJITI hili jina iilikuwa skuli o level KINJIKITILE...
  13. T

    Chumba cha mtihani

    Habari! Wadau ebu tujikumbushe miaka hiyo wakati NECTA inaitwa NECTA, wakati form four ilikuwa sio kitoto kutoboa, unaingia kwenye chumba cha mtihani pepa imesimama mpaka unaogopa. Wewe unakumbuka nini kwenye pepa yako ya mwisho O - level? Ilikuwa ngumu au ilikuwa nyepesi ? Kuna somo...
  14. T

    Clouds media wamekumbwa na pepo gani la nuksi na mkosi?

    Habari! Clouds media group company. kuongea ukweli hawa jamaa walikuwa na mvuto sana miaka ya nyuma kidogo, majamaa walikuwa na moto sana kwenye utangazaji wao iwe kwenye tv mapaka kwenye redio na walichukua idadi kubwa sana ya vijana kama mashabiki wao Lakin ndani ya miaka hii ya sasa imekuwa...
  15. T

    Njia ya kubadili IP address ya simu

    wadau! masaada, hivi kuna njia au uwezekano wakubadili IP adress ya simu bila ku restore au ku flash simu? wajuzi wa haya mavitu ningependa kufahamu hili
  16. T

    Nyie wadada tusitaniane kwenye pesa hali ngumu

    hili swala limeniumiza sana wanabodi wadada wengine wanaleta utani sana na umatemate, huyu mdada alikuwa analialia anataka kukopeshwa pesa, kwa msaada kakopeshwa pesa kadhaa na mdau wangu anaejikaza na hali ya kichaa kichaa (jiwe) pesa ni ndefu kiaina kwa usawa huu wa sasa siku zimekatika na...
  17. T

    kwenye mahusiano nani anaongoza kuvunja uaminifu

    wana Mmu! habari tafiti zinaonesha kwenye mahusiano mengi wanaume ndio wanaongoza kuvunja uaminifu wa mahusiano kwasababu ya matamanio, yani nikimaanisha mwanaume anaweza akawa kwa mahusiano na akamtamani mshichana mwengine kwa kufanya nae ngono labda lakini asimpende kama mpenzi wake, hapo...
  18. T

    swali kwa wanawake

    wana jukwaa hivi nyie wanawake mkitongozwa na mkakubali mnachuka muda gani kuanza kuomba pesa? au tuseme kunyenga au kuhonga kuna mdada kumu kanisikitisha sana kwa kweli ata kama hali ya magu tete lakini sio kwa staili ile aliyokuja nayo.. duu! ndio maaana nauliza hili swali kwa hapa labda...
  19. T

    kwa wiki unatakiwa ufanye mapenzi mara ngapi

    wadau! habari zenu. swali ndio hilo wakuu, maana najiona nakosea sana lakini nahisi kama nakosa suluu kwa hili swala. yani napenda sana migegedo kwa wiki naweza nikagegeda hata mara 5 hadi muda mwingine najihisi mchovu lakini hamu bado inakuwepo kwa asilimia 750% sasa ndio maana nauliza, hivi...
  20. T

    Tuliowahi kulia kisa mapenzi tupeane uzoefu

    Habari wakuu, Kama umeshawahi kulia na sio kulia tu ni kulia kwa uchungu kwa sababu ya mapenzi, huu ndio uzi wako spesho. Ilikuajeje hadi ukalizwa? Ulijiona mjinga baada ya "kilio mapenzi"? Utarudia kulia tena kwa sababu ya mapenzi?
Back
Top Bottom