SI KWELI Threads

  • Article
Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti...
0 Reactions
1 Replies
536 Views
  • Article
Nimeona barua inasambaa Mtandaoni ikisema NECTA inaratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo. Barua hii inanipa mashaka sana, JamiiCheck nisaidieni...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
  • Article
Habari, Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo...
13 Reactions
79 Replies
3K Views
  • Article
Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika. Video hiyo inamuonesha Rais...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
  • Article
Picha hii inadaiwa kuwa ya Rais Mteule wa Senegal, Diomaye Faye akiwa na mke wake. JamiiCheck naombeni ufafanuzi maana nimewahi kuiona sehemu fulani sikumbuki ni wapi, lakini ilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
685 Views
  • Article
Nani asiyemjua mbabe Simba mfalme wa nyika? Yaani ukutane naye paaah! Utamzame machoni aone aibu na kuondoka? Bado siamini hili jambo naona hawa vijana wa ovyo wanataka kuniingiza chaka siku...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Article
Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je...
2 Reactions
83 Replies
3K Views
  • Article
Kuna picha nimeona Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama akizindua uidhinishaji wake wa mwisho wa mgombea urais 2022 nchini Kenya ambapo alionesha wazi kumuunga mkono Naibu Rais Ndugu William...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
  • Article
Mara nyingi nikiwa na stress na kupelekea kukosa usingizi, huwa navuta sigara ili kupunguza stress hizo. Hata iwe usiku wa manane nitajitahidi niende kwenye Club zinazokesha nikafuate sigara...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Article
Kumekuwepo na barua inayiosambaa Mtandaoni ikionesha kuandikwa na Mfalme Mswati III ametoa tangazo linalodai kuwa kutokana na uhaba wa Wanaume kwenye nchi yake, amewaomba wananchi wanaoishi Kusini...
0 Reactions
2 Replies
595 Views
  • Article
Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
  • Article
Video hii kwenye Facebook imeeleza kuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amesema kuwa Rais William Ruto alimsaliti kwa kukutana na kinara wa upinzani Raila Odinga nchini Uganda. Video hiyo...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
  • Article
Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Article
Habari Wadau, Nimekutana na tangazo la kazi likionesha kuwa Kampuni ya usafirishaji ya Tilisho inahitaji Wafanyakazi kwa nafasi ya Wakatisha Tiketi na wahudumu wa ndani ya Mabasi. Nimepata...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
  • Article
Habari, Kuliwahi kutokea madai yakisema kuwa Olduvai Gorge ipo nchini Kenya. Rosemary Odinga alisema Olduvai Gorge ipo Kenya, Tazama video hapa chini: Je, mnaweza kutusaidia kuweka kumbukumbu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article
Ni kweli kuwa matumizi ya mara kwa mara (Mfululizo) ya vidonge aina ya p2 huondoa kizazi cha mwanamke?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article
Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Article
Nimeona ujumbe wa WhatsApp unaotaka watu watume majina ya Wagonjwa wa Saratani ya Matiti kabla ya Machi 7 ili watibiwe bure. Nina ndugu yangu ni mgonjwa. Naomba kufahamu kama tangazo hili lina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article
ATTENTION! Medical research authority of the US have found new cancer in human being caused by silver nitro oxide. Whenever you buy recharge cards dont scratch with nails as it contains silver...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
  • Article
Here it is, kwanza 1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26 2. Anatafutwa as an international fugitive. 3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya...
8 Reactions
53 Replies
9K Views
Back
Top Bottom