SI KWELI Threads

  • Article
Inasemekana kuwa Rais wa awamu ya Pili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki amefariki dunia. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi.
5 Reactions
9 Replies
3K Views
  • Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na Video ikimuonesha mchezaji wa PSG Kylian Mbappe akicheza mpira na Roboti. Kuna ukweli kuhusu video hii? Tunaombeni ufafanuzi. Video iliyosambaa mtandaoni
0 Reactions
3 Replies
816 Views
  • Article
Salaam Wakuu, Nimeona taarifa imepostiwa na Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa X ikiambatana na video inayoonesha maji mengi ya mvua yakitiririka katika barabara ya Mlima Kitonga. Video hii...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Article
Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Article
Salaam ndugu zangu, Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa: Bodi...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
  • Article
Hili sakata la dola linanivuruga sana, ukifuatia kulikuwa na taarifa mtandaoni kuwa Tanzania kuna uhaba wa dola Za kimarekani. Sasa naona tena kuna taarifa inazagaa mtandaoni kuwa BoT akiba hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Article
Salaam ndugu zangu, Nimekutana na picha ya JamiiForums ikienea ikionesha ujumbe wa Prof. Mkenda unaodai kuwa kwa sasa vigezo vya kupata kazi kwa Wanafuzni ni kuwa na GPA 3.8. Jambo hili...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Article
Wakuu mko vyede? Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo. Hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
  • Article
Inadaiwa kuwa mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
  • Article
Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Back
Top Bottom