NADHARIA Threads

  • Article
Wakuu, Nimekuja na swali hili baada ya jamaa mmoja kusema jambo hili sio la kweli, lakini mimi pia nimeshawahi sikia hii, bi mkubwa alituhadisia kuna ndugu yao mmoja aling'atwa na mbwa mwishowe...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
  • Article
Wakuu, Kipindi tulipokuwa watoto nilikuwa nasikia hii sana kwamba uking'atwa na mtu ukienda kupaka kinyesi cha kuku basi yule aliyekung'ata meno yake yanaoza yote! Ni kweli hii au ilikuwa njia...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
  • Article
Je, hili linalosemwa ni la kweli kwamba endapo kenge akikupiga na mkia wake kuna madhara unaweza kupata. Kwa mfano akikonda na wewe unakonda akinenepa na wewe unanenepa akifa na wewe unakufa.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Article
Kuna madai mengi mtaani yanayosema kuwa mwanamke akiwa kwenye hedhi husababisha kunyauka kwa mboga na matunda ikitokea amechuma. Mdau mmoja wa JamiiForums amendika pia kuhusu suala hili. Baadhi...
8 Reactions
55 Replies
10K Views
  • Article
Pamekuwa na maneno kuwa Wananchi wa FIJI wana asili ya Tanganyika. JamiiChek tusaidieni kufanyia kazi suala hili. Wakazi wa Fiji (Chanzo: Mtandao)
2 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article
Magonjwa mbalimbali yametufanya binadamu kubuni tiba aina mbalimbali ambazo zitatusaidia kuondokana na magonjwa hayo. Moja ya tiba iliyobuniwa na binadamu ni pamoja na mkoja wa binadamu kama tiba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article
VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Article
Nadhani wengi tumetizama movie ya Titanic, ikielezea penzi la vijana wawili na pia kuzama kwa meli hiyo. Inasemekana ina uhalisia kiasi fulani na tukio la kweli la kuzama kwa meli hiyo mwaka 1912...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Article
Kevin Carter alikuwa ni mpiga picha, sasa katika kazi zake alifanikiwa kufika Sudan na alikuta eneo fulani nchini Sudan likikabiliwa na njaa kali sana. Wakati anaendelea kuchukua matukio katika...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Article
Habarini, Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli? Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Article
Covid-19 ni janga ambalo lilitikisa ulimwengu kuanzia mwaka 2019. Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzia homa ya kawaida hadi homa kali kama...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
  • Article
Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Article
Rais Mstaafu Joseph Kabila inasemekana hakuwa mtoto halisi(Biological Son) wa Rais Mstaafu Joseph Desire Kabila. Inasemekana jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe Kazemberembe akiwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Article
Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Article
Wakati wa ukuaji wangu nilikuwa nasikia matendo mabaya sana kuhusu aliyekuwa Rais wa Uganda, Id Amini Dada, moja ya matendo hayo ni pamoja na ulaji wa nyama za watu hasa waliokuwa wapinzani wake...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article
Ulaji wa viazi vitamu kwa kipindi kirefu unadaiwa kusaidia uzalishwaji wa mayai mengi kwa Mwanamke na hivyo kupelekea kupata watoto mapacha. Jiji la Igbo-Ora lililopo nchini Nigeria ni jiji lenye...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Article
Salaam Ndugu zangu, Zipo tetesi zimesambaa katika maeneno mbalimbali kwamba ugonjwa wa Covid-19 umerejea nchi. Kwa sisi tunaoishi Dar tunashuhudia kulipuka kwa mafua makali yakiambatana na...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
  • Article
Wadau habari zenu! Tumemfanyia tohara Jana mtoto wetu wa miaka 2. Mbaba mdogo akanipigia akaniambia tuache kushiriki/kukutana na mke wangu hadi watoto wapone. Ni mwiko kabisa. Je, ni kweli wadau?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom