Wadau habari zenu!
Tumemfanyia tohara Jana mtoto wetu wa miaka 2. Mbaba mdogo akanipigia akaniambia tuache kushiriki/kukutana na mke wangu hadi watoto wapone.
Ni mwiko kabisa.
Je, ni kweli wadau?
Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji.
Baadhi wameonesha wasiwasi wao...
Mdau wa JamiiForums amedai kuwa jamii za wafugaji ni warefu kwasababu wanakunywa sana maziwa tofauti na jamii za watu wasiotumia maziwa.
Amebainisha baadhi ya sababu ni kutokana na maziwa kuwa na...
Matumizi ya muda mrefu ya mafuta ya nywele aina ya body luxe (body luxe hair oil) husababisha mvi kuota kwa kasi katika umri mdogo.
Hapa nazungumzia haya mafuta ya nywele ya body luxe yenye kopo...
Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini...
Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi.
Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.