Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
3 Reactions
21 Replies
191 Views
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
21 Reactions
77 Replies
1K Views
Habarini za muda huu wadau..Nimekua nikifatilia matangazo mengi sana ya Redio na Tv hapa Bongo especially Clouds FM na TV. Clouds FM haiwezi kupita siku bila kuskia tangazo la Phillip...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?
1 Reactions
15 Replies
155 Views
Kichwa cha mada kinajieleza...
0 Reactions
12 Replies
72 Views
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo...
3 Reactions
5 Replies
72 Views
Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira. Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira...
1 Reactions
28 Replies
310 Views
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
11 Reactions
165 Replies
3K Views
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
8 Reactions
41 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,495
Posts
49,574,134
Back
Top Bottom