kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,080
- 18,172
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku kwenye mtungi
Yaani kamtungi kanafungwa luku unanunua gesi ya elfu 10 hela ikikata hiyo siku hupiki.
Sijawahi kusikia akija na mawazo ya kushusha Gharama ya gesi ili watu huko vijijini waachane na mikaa na kuni, sijawahi kumskia.
Tuna rais anayefikiria kuwakamua wananchi wake tu, tuna rais asiye na uchungu na nchi hii kabisa...Au ni kwasababu Rostam na Abdul wana miradi ya gesi?
Eti alipewa tuzo ya kinara wa nishati safi Tanzania?Kwa lipi?Kafanya lipi?Kaingia kakuta mtungi wa kilo 6 ni 17000 kujaza mwaka 2021 leo mtungi ni elfu 25 kujaza halafu anapewa tuzo
Takwimu za wanaopikia na gesi ni wachache sana bado 95 ya tz wanatumia kuni na mikaa misitu inakwisha,uoto unakwisha, watu wanazidi kuumizwa na kupikia na makuni tu halafu rais anasimama kuongea mambo ya luku kwenye gesi, means ataweka na tozo huko??
Tuna rais asiyejali kabisa!!!Tuna rais anayejifikiria yeye tu?Ni lipi amewahi kulifanya kama mkuu wa nchi watu wa chini wakanufaika?Toka ameingia watz wanazidi kuumizwa, yeye hajali wala nini?Tuna bahati mbaya kama taifa kuwa na rais kama huyu mtu asiyejali wala kuwa na huruma!!
Mimi binafsi sioni anachofanya!!Mfumuko wa bei unatisha mafuta ndo usiseme nauli ndo usiseme!!Halafu hajali wala nini walaa hashtuki ndo kwanza safari za kwenda nje zinaongezeka!!Huwa najiuliza kwani hana washauri?Hawamuambii?Hivi katika hali ya kawaida unaweza kurun nchi hivi? Sijawahi kuona ndugu zangu,yaani nchi imekua haina tofauti na kuwa haina rais kabisa maana hamna anachofanya kinaonekana watu wanaumia,watu wanateseka halafu viongozi wametia pamba masikioni!!Niseme tu hapa hapa kuwa hatoshi, hatufai, na ana uwezo mdogo sana!!
Sitaki kuamini kuna watu wanasema anaupiga mwingi ukiwauliza kwa lipi wanakosa majibu
Shame!!!