Recent content by Zakaria Maseke

  1. Zakaria Maseke

    Jinsi ya kuomba zuio la Mahakama (temporary injunction) kuzuia mali yenye mgogoro isiharibiwe, kuuzwa au kupotea

    Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa? Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio la muda mfupi Mahakamani ikiwa utaona mali inayobishaniwa kwenye kesi iko hatarini kupotea au...
  2. Zakaria Maseke

    Utaratibu wa Kuomba Dhamana Nchini Tanzania (Bail Procedures)

    Kupitia Wakili wako au ndugu zako, kwan dhamana unaombaje ukiwa ndani? Utatoka ndani ukalete barua ya utambulisho na wadhamini?
  3. Zakaria Maseke

    Nani ana uwezo wa kushtaki na kushtakiwa kisheria?

    Jambo la kwanza kabla ya kuamua kushtaki au kufungua kesi Mahakamani hakikisha una miguu ya kusimamia Mahakamani, kisheria tunaita LOCUS STANDI. Locus standi ni neno la kisheria lenye asili ya kilatini ikimaanisha maslahi au haki uliyo nayo au iliyovunjwa na mtu au taasisi na hivyo kukupa haki...
  4. Zakaria Maseke

    Kielelezo kinatakiwa kusomwa kwa sauti Mahakamani

    Nyaraka ikishapokelewa kama kielelezo Mahakamani, inatakiwa yule shahidi aliyeleta hicho kielelezo asome kwa sauti kilichomo ndani ya hicho kielelezo mbele ya Mahakama, ili upande wa pili kwenye kesi uweze kuelewa yaliyomo kwenye kielelezo na kuweka pingamizi kama anataka kupinga. Kama kuna...
  5. Zakaria Maseke

    Njia mbali mbali za kutoa ushahidi Mahakamani

    Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021). Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
  6. Zakaria Maseke

    Nani anatakiwa kusaini pleadings (nyaraka) za kwenda Mahakamani kwenye kesi ya madai?

    Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama yupo) au mtu yeyote ambaye ameruhusiwa na mhusika. Hata wakili peke yake anaweza kusaini kama tu...
  7. Zakaria Maseke

    Mahakama Kuchelewa/Kushindwa Kufanya Utekelezaji Wa Hukumu, Natakiwa Nifanye Nini?

    Sheria imefanyiwa marekebisho sasa hivi Mawakili wanaruhusiwa Mahakama za Mwanzo
  8. Zakaria Maseke

    Procedures for the establishment and registration of unit titles (hatua za kuanzisha na kupata hati pacha)

    Article: By Zakaria Maseke zakariamaseke@gmail.com Advocate/Wakili. (0746575259 WhatsApp). Unit titles (hati pacha) ni nini? 🤷‍♂️ Ni mfumo ambao mtu ‘ANAMILIKI’ sehemu au chumba (apartment au portion) kwenye jengo lenye vyumba vingi. 🏬 Jengo ni moja ila mnashare wengi, 🌆 kila mtu anamiliki...
  9. Zakaria Maseke

    Kufoji barua ya uteuzi wa kusimamia mirathi ni kosa kisheria na chochote utakachofanya kupitia hizo barua za kufoji ni batili

    Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
  10. Zakaria Maseke

    Watoto waliozaliwa nje ya ndoa wana haki ya kurithi

    KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI: Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI) NO.14 OF 2011 Haya ni baadhi ya maswali machache ambayo utapata majibu yake ndani ya hii kesi.👇 1...
  11. Zakaria Maseke

    Recognition & enforcement of foreign Judgements in Tanzania (utekelezaji wa hukumu za kigeni Nchini Tanzania).

    How to enforce foreign judgements in Tanzania (jinsi ya kutekeleza hukumu ya nje ya nchi hapa Tanzania). Kupitia makala hii utajifunza mambo yafuatayo: 1: Whether a foreign judgement can be enforced or executed in Tanzania (ikiwa inawezekana kutekeleza hukumu ya kigeni nchini Tanzania). 2...
  12. Zakaria Maseke

    Msaada wa Kisheria unahitajika tafadhari

    Ukimaliza kuwasiliana na kampuni la simu, kama itashindikana au usiporidhika nenda TCRA, usiporidhika tena, utakata rufaa kwenye Fair Competition Tribunal (FCT).
  13. Zakaria Maseke

    Kuuza nafsi yako maana yake nini?

    Jina “mungu wa dunia hii” limetajwa kwenye Biblia ukisoma 2 Wakorintho 4:4 kumaanisha the devil au Lusifa. Jina lingine ni “mkuu wa ulimwengu huu” ambalo pia limetajwa kwenye Biblia, kitabu cha Injili ya Yohana sura ya 12:31, 14:30 na 16:11. na ametajwa kwa herufi ndogo Maana kuna tofauti ya...
Back
Top Bottom