Recent content by Samatime Magari

  1. Samatime Magari

    Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Ile chupa ya pembeni ni ya kupunguzia pressure kwenye radiator [expansion tank] joto likiwa kubwa sana, na inatakiwa isijae ila radiator inatakiwa kuwa full with coolant
  2. Samatime Magari

    Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Lipo share whatsapp Jina lako na unakopatikana tutasave numbee yako na kuku add 0714547598 Samatime Magari
  3. Samatime Magari

    📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
  4. Samatime Magari

    BMW X1 aka Baby BMW SUV

    Sikubaliani na hapa hizi number umezikuza sana i know kuna tofauti ya gharama kati ya servicing gari za Ulaya na Japan but sio kwa ukubwa huo hasa kwa X1, unless otherwise una i compare na gari ndogo, i compare na mid cross over za Toyota tofauti sio kubwa on servicing ya kukufanya usichukue...
  5. Samatime Magari

    BMW X1 aka Baby BMW SUV

    This is new kwangu asante sana nimejifunza mengi hapa, nina swali kidogo naamini timing chain za BMW ziko subjected to wear and tear na naamini pia manufactures wana recommendation ya kufanya replacement ya hio kitu baada ya km flani, Hili unaliongeleaje ?
  6. Samatime Magari

    BMW X1 aka Baby BMW SUV

    Hii ni Crossover SUV, Tena ni subcompact Luxury cross over kutoka BMW, Yani Baba Mama Watoto walitaka kupata SUV ndogo na luxury inayotumia mafuta vizuri ndo X1 akazaliwa, saa andaa kifungua kinywa then kaa nikupe madini ya hii gari.. 2009 ndo BMW X1 amezaliwa na alitambulika kama moja ya SUV...
  7. Samatime Magari

    Je, umesikia habari za Uhakiki wa Leseni na Cheti Uliposomea Driving kwa Madereva ?

    Je unajua kwamba kwa sasa ukitaka kurenew leseni ni mpaka uwe na cheti cha udereva, Yani cheti cha uliposomea udereva, sasa kama leseni ilikufata nyumbani jiandae. Sasa naweza jiuliza hii issue imetokea wapi, iko hivi.. . Duru zinasema kuna mwamba mmoja maarufu kwenye ndondi alikua anapiga...
  8. Samatime Magari

    🚨 Ndio Ilikuwa Ijumaa…

    . Siku ambayo vijana wengi wala bata wanaikubali sana sababu ni siku weekend inaanza, wanaachana na kazi then wanapumzika, Ijumaa hii Agnes alikuwa bado yuko ofisini anamalizia vimeo vyake, Wenzake walikuwa washatoka wanaelekea Kidimbwi kula bata.. . Agness akawa bado anapambana na hesabu zikae...
  9. Samatime Magari

    🚨 Mazda Verisa aka Dogo Janja

    Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni wakiondoka kinalamba kabisa, ka vizuri twende pamoja utanielewa tu.. . Verisa kimuonekana amekaa...
  10. Samatime Magari

    🚨 Toyota Rav 4 Miss TZ moja ya Karata nzuri walizocheza Toyota

    . Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV.. . Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na...
  11. Samatime Magari

    Utajuaje Brake Pads za gari yako zimeisha?

    Kuna madereva huwa wao wakishaweka D ndo nitolee mwendo mdundo, unakuta Brake pads zinaisha hajui zinakula disc mpaka inakua nyembamba utafikiri CD. . Sasa Basi nimekuandalia Tips rahisi kwa ufupi kabisa zitakazokusaidia kujua Brake Pads zimeisha na utazijua ndani ya sekunde 60 tu, Kwanza Taa ya...
  12. Samatime Magari

    🚨Shikamoo Mpemba

    . Ilikua December Mwaka jana 2021 Ijumaa Usiku Boni alinitext WhatsApp, Akanambia anatafuta Toyota Harrier ya mkononi Tako la nyani yenye hali nzuri. Akasema budget yake ni Million 18 Net hapandi wala hashuki, akipata white au silver itakua safi.. . Akasema yuko Dodoma ila ikipatikana hata...
  13. Samatime Magari

    🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

    Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu... . Kikifika hapo...
  14. Samatime Magari

    🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..

    Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...
Back
Top Bottom