Recent content by Sal dee

  1. S

    Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Sawa mkuu.. Je chuo kipi ni Bora Kwa Kozi hii
  2. S

    Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Nimekuelewa kaka.. Ningependa kufaham hizo za angalau
  3. S

    Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Natanguliza shukrani, Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu. CIVICS"D" ENGLISH"C" GEOGRAPHY"C" KISWAHILI"C" HISTORY"C" BIOLOGY"C" CHEMISTRY"C" PHYSICS"F" MATH'S"F" Division III:22
  4. S

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Shukran nasubir hiyo bamia therapy mkuu
  5. S

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaj daw ya kupona kaka sio kuboost tu
  6. S

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Sawa kiongozi nitakuchek jioni Kwa maana saiv npo kibaruani
  7. S

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za...
Back
Top Bottom