Recent content by Mkoba wa Mama

  1. Mkoba wa Mama

    SoC04 Suluhisho la msongamano wa magari barabarani na faida zake

    Utangulizi Kutokana na ongezeko kubwa la magari hasa katika maeneo ya mjini ni wakati sasa wa serikali kuchukua hatua madhubuti ili kuimarisha sekta ya usafirishaji nchini na kulinda miundombinu ya barabara. Moja ya hatua zinazoweza kuchukuliwa ni pamoja na ujenzi wa barabara maalum kwa ajili...
  2. Mkoba wa Mama

    SoC04 Kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kuwa miaka 55

    Utangulizi. Kutokana na taratibu na kanuni zilizopo kwa sasa, umri wa kustaafu kwa lazima katika sekta mbalimbali za ajira hapa nchini ni miaka 60. Kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 60 hadi 55 ni suala lenye faida kubwa kwa pande mbalimbali. Mabadiliko haya yatajikita katika...
  3. Mkoba wa Mama

    TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  4. Mkoba wa Mama

    Wanafunzi wa chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Lindi bado wapo gizani

    Ni siku ya tano sasa bado umeme haujanunuliwa, wanafunzi wanalala gizani.
  5. Mkoba wa Mama

    Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Lindi, hakuna umeme siku ya pili sasa

    Katika baadhi ya makazi ya wanafunzi (hosteli) wa chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Lindi hakuna umeme siku ya pili sasa, wanashinda bila umeme na wanalala giza, sababu ikiwa LUKU, na wakati wanafunzi wanalipia accomodation fees. Hii sio mara ya kwanza kwa tatizo hili kutokea, na wakati...
  6. Mkoba wa Mama

    Leo ni siku ya tatu, NACTVET hawapokei simu yangu

    Ilinichukua zaidi ya wiki moja simu yangu kupokelewa NHIF. Leo ni siku ya tatu napiga simu NACTVET inaita tu bila kupokelewa. Sasa kuna umuhimu gani wa hizo namba/mawasiliano ya huduma kwa wateja Lakini pia hata ukituma barua pepe hazijibiwi kabisa. Ninashauri waliangalie hili suala maana...
  7. Mkoba wa Mama

    NACTVET wabadilishe utaratibu wa utoaji wa matokeo ya wahitimu wa mwaka wa tatu

    Una uhakika matokeo yametoka? Una uhakika mimi nimehitimu/nimesoma diploma? Na hata kama mimi nimehitimu, unafikiri hoja hii ikiwafikia wahusika na wakaamua kuifanyia kazi, itawezekana kufanyiwa kazi kwa waliohitimu mwaka huu? Hili suala hata haliwahusu waliohitimu mwaka huu, ni suala ambalo...
  8. Mkoba wa Mama

    NACTVET wabadilishe utaratibu wa utoaji wa matokeo ya wahitimu wa mwaka wa tatu

    Ndiyo maana nimeweka options hapo chini ya nini kifanyike kwa mwaka wa 3 ili mda upatikane wa kutosha kuandaa matokeo na kuyatoa, sijazungumzia habari za kusahihisha mitihani haraka haraka. Na usipende kutoa conclusion kwenye hoja ya mtu utafikiri wewe ndio mwenye mamlaka.
  9. Mkoba wa Mama

    NACTVET wabadilishe utaratibu wa utoaji wa matokeo ya wahitimu wa mwaka wa tatu

    Nikisema haujielewi nitakua nakosea, lakini naomba nikuambie tu, si kila suala unapaswa kuchangia, mengine acha yapite kukusaidia pia kuficha ujinga ulionao. Ukisoma hapo, kuna sehemu yeyote nimeandika kuhusu malengo yangu binafsi? Na pia unaposema utaratibu umeshawekwa una maana gani? kwa...
Back
Top Bottom