Recent content by MaT2B

  1. MaT2B

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hicho kisketi kinatia mzuka. Hapo unapiga nakisketi kikiwa hapohapo
  2. MaT2B

    Marriage is an outdated concept

    Hata sijamaanisha, hivyo bahna. Ngoja nipunguze. Subiri mpaka 28 yrs. 😀
  3. MaT2B

    Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Hivi kwenye mechi hizi za robo fainali timu pinzani hua inapewa nafasi ngapi za mashabiki.? Na bongo hua tunazijaza zote?
  4. MaT2B

    Marriage is an outdated concept

    Ahaaa sawa. Hapo subiri ufike hata 30
  5. MaT2B

    Marriage is an outdated concept

    Akitokea mwanaume anaeleweka narudia ANAELEWEKA just get married. nwdays they don't come twice. Labda kama kuolewa kwako si kipaumbele.
  6. MaT2B

    Ukiposti barua kwenda UK inachukua muda gani kufika kule?

    Unaweza kuta barua ina taarifa za siri sana.
  7. MaT2B

    Kuna kinyama kinaning'inia sehemu ya haja kubwa, naombeni msaada

    Nenda wakakufanyie operation, dawa zinazunguka wewe mwisho wa siku utarudi kwenye operation. Ila jipange kwa maumivu makali baada ya operation sio poa. USiogope lakini.
  8. MaT2B

    Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

    Nimeona Maskini waliovaa nguo zilizochakaa sababu hawana PESA ya kununua nguo mpya. Nimeona watu waliokufaa njaa sababu ya kukosa pesa ya kununulia chakula. Nimeona wagonjwa waliokosa matibabu sababu hawana pesa ya kulipia. Tatizo si Pesa. tatizo ni pale unapohitaji huduma au kitu na hauna...
  9. MaT2B

    Nijuzeni kuhusu snapchart

    Unapress sana,
  10. MaT2B

    IWE SIRI YAKO, USIMWAMBIE MTU

    25ml za nin Sea men
  11. MaT2B

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Naona mmenipunguzia pato langu na kuwagawia wafanyakazi wa viwanda vya MO
  12. MaT2B

    Mayai ya Kuku wa Kienyeji yanauzwaje?

    Fridge ina temp ya 38⁰C ?
  13. MaT2B

    Mayai ya Kuku wa Kienyeji yanauzwaje?

    mshamba_hachekwi Kelsea Lamomy
  14. MaT2B

    Mayai ya Kuku wa Kienyeji yanauzwaje?

    Dr Lizzy Aaliyyah Leejay49 Mshana Jr
Back
Top Bottom