Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,480
- 3,352
Hizo ni kofia zaidi ya mbili mbona. Wapeana hata kofia zoteAnaweza kuendelea na Kofia mbili wakati fulani Enzi zile RC alikuwa Katibu wa CCM na mbunge 😄😄
Hizo ni kofia zaidi ya mbili mbona. Wapeana hata kofia zoteAnaweza kuendelea na Kofia mbili wakati fulani Enzi zile RC alikuwa Katibu wa CCM na mbunge 😄😄
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati vyote ni vyeo vya serikaliJaribu kujielimisha kwenye mambo madogo kama ili uongeze uelewa wako. Mifano ipo mingi ya watu wenye nafasi zaidi ya Moja na zote wanazifanya , anza na Naibu Waziri mkuu
Wanateua,kama ni kuchagua taratibu za uchaguzi zingezingatiwa na wagombea kujulikana.Hivi huwa wanachagua au wanapitisha? Naomba kueleweshwa
Bashite atakuwa ni mbongo wa kwanza kushika nyazifa mbili.Mpaka sasa Makonda Bado ni Katibu wa NEC itikadi na Uenezi maana hakuna mahali popote panaposema kaenguliwa, katumbuliwa au kaachishwa ila kilichofanyika ni kuteuliwa ukuu wa mkoa
Kuhusu kofia mbili katiba inasemaje?Mwenyekiti hajamtengua msemaji wa chama ila kamuongezea jukumu na sijaona pahali pameandikwa katenguliwa uenezi ila kateuliwa kuwa mkuu wa mkoa na wala sio kosa wala hajakiuka katiba msipotoshe
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya CCM ya mkoa 🐼Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati vyote ni vyeo vya serikali
Mfano wako ni mbovu
Katibu wa CCM hawezi kuwa Mkuu wa Mkoa
Ndio maana leo NEC wanaenda kumwondoa
Tusijitoe ufahama kutetea kishabiki uozo wa kiutaratibu na kikatiba
Katiba ipi inamtambua Naibu waziri Mkuu?Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati vyote ni vyeo vya serikali
Mfano wako ni mbovu
Katibu wa CCM hawezi kuwa Mkuu wa Mkoa
Ndio maana leo NEC wanaenda kumwondoa
Tusijitoe ufahama kutetea kishabiki uozo wa kiutaratibu na kikatiba
Wewe huna akili kichwani, Ramadhan Mapuri alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani na Mwenezi wa Chama same time.hawezi kufanya kazi zote mbili, kwa hiyo NEC inalazimika kum replace,
kusema kwamba bado ni Mwenezi ni kujitoa ufahamu
Mwenyekiti ametumia mabavu kuidharau NEC
Nikuulize swali; nini kinaanza kati ya kuapishwa URC na kikao cha Chama? Lazima tuheshimu taasisi ya Rais! Siyo kila kitu ujuaji tu. Pia, cheo ni dhamana ukiteuliwa na Mhe. Rais popote pale ni heshima kubwa sana.🙏🙏🙏ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA
KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
TOLEO LA 2022
IBARA YA 102
Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
zitakuwa zifuatazo:-
KIFUNGU CHA 12
Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa wa Itikadi na Uenezi
KIFUNGU CHA 21
Kumwachisha au kumfukuza Uongozi
kiongozi yeyote ambaye uteuzi wake wa
mwisho ulifanywa na Halmashauri Kuu
ya CCM ya Taifa.
=================================
CCM leo imeitisha kikao cha dharura cha NEC kwa nia ya ku save face ya Mwenyekiti, yani kufunika mchemko wa kuvunjwa Katiba ya CCM uliofanywa na Mwenyekiti. Watatengua nafasi ya Makonda na kuteua Mwenezi mpya. Lakini Mwenyekiti alishamtengua kivyake vyake tayari na kumfanya RC Arusha
Viongozi wasipofata taratibu, sheria, kanuni, itifaki za chama na serikali, wanatuma ujumbe kwa wengine wote nchini yao kwamba kiongozi ana mamlaka ndani ya eneo lake kufanya lolote analotaka....
JPM aligusa maslahi ya walamba asali, establishment. Hao ndio wanataka walambe keki ya nchi. Ukiwagusa wana kelele balaaAngekua JPM povu lingekua la kutosha ,hii nchi shida sana
Huko kote mbali, katiba ya CCM inatamka mwanachama Mpya akae miaka mitano ndio agombee nafasi kupitia CCM au chamani.Katiba ipi inamtambua Naibu waziri Mkuu?
Naomba kifungu.
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya CCM ya mkoa 🐼
Mwenezi anaweza Kuwa RC hakuna matata
Wanaenda Kupata Naibu Katibu MkuuMwenezi anaweza kuwa RC?
Sasa kwa nini wanaenda kumtoa ???
all is stupid, mbona wao wanavunja katiba ya nchi.ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA
KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
TOLEO LA 2022
IBARA YA 102
Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
zitakuwa zifuatazo:-
KIFUNGU CHA 12
Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa wa Itikadi na Uenezi
KIFUNGU CHA 21
Kumwachisha au kumfukuza Uongozi
kiongozi yeyote ambaye uteuzi wake wa
mwisho ulifanywa na Halmashauri Kuu
ya CCM ya Taifa.
=================================
CCM leo imeitisha kikao cha dharura cha NEC kwa nia ya ku save face ya Mwenyekiti, yani kufunika mchemko wa kuvunjwa Katiba ya CCM uliofanywa na Mwenyekiti. Watatengua nafasi ya Makonda na kuteua Mwenezi mpya. Lakini Mwenyekiti alishamtengua kivyake vyake tayari na kumfanya RC Arusha
Viongozi wasipofata taratibu, sheria, kanuni, itifaki za chama na serikali, wanatuma ujumbe kwa wengine wote nchini yao kwamba kiongozi ana mamlaka ndani ya eneo lake kufanya lolote analotaka....
Si lazima tuheshimu taasisi ya Rais. Hizo ni mentality za ki third world. Na ndo zinaturudisha nyuma. Viongozi wetu hawako accountable for anything they do. They are basking in impunityLazima tuheshimu taasisi ya Rais!
Mwache apumzike rais wetu.Angekua JPM povu lingekua la kutosha ,hii nchi shida sana
Sawa, nakuelewa! Tumkosoea kwa fact basi! Sasa mtu anasemaje Mhe. Rais kavunja katiba ya Chama wakati taratibu zenyewe za Katiba zinaendelea? Kikao cha Chama kitaanza na kufuatia uapisho.🙏🙏🙏Si lazima tuheshimu taasisi ya Rais. Hizo ni mentality za ki third world. Na ndo zinaturudisha nyuma. Viongozi wetu ni accountable. They are basking in impunity
Tunapaswa kumkosoa Rais!
Anhaaa, wanamtoa Uenezi halafu ndio wanamwapisha RCKikao cha Chama kitaanza na kufuatia uapisho.🙏🙏🙏
Mkuu,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati vyote ni vyeo vya serikali
Mfano wako ni mbovu
Katibu wa CCM hawezi kuwa Mkuu wa Mkoa
Ndio maana leo NEC wanaenda kumwondoa
Tusijitoe ufahama kutetea kishabiki uozo wa kiutaratibu na kikatiba