Recent content by LugaMika

  1. LugaMika

    Je, Semi hizi ni za kweli amma ni za wahenga tu?

    Niliambia hivi ★"Mwanangu katika maisha yako ya utuuzima ishi na mwenyeji wako kama mgeni,mgeni ajapo ishi naye kama mwenyeji tu ulokwepo naye kabla" ★ Nilipewa nafasi kufikiria kama ningepata hata kuelewa lakini haikuwa rahisi sana. Ikatafsiriwa na wataalamu wakasema kuwa jambo hilo lipo...
  2. LugaMika

    Kila mabadiliko mazuri huanza kama kuanguka kwa domino

    Maana yake ni kwamba ili uwe na mafanikio makubwa sana lazima uanze na uhodari kiasi na uwe nao kwa muda . Huenda watu hupokea vitu fulani kwa ubaya ndio maana vinawatesa. Nilitamani sana kujua kwanini Hayati John Magufuri alipenda sana kuwakumbuka wanyonge. Ila jibu nikalipata ni...
  3. LugaMika

    Ukosefu wa haki vyuoni

    Ni kweli kabisa
  4. LugaMika

    Ukosefu wa haki vyuoni

    0685237039
  5. LugaMika

    Ukosefu wa haki vyuoni

    Baba yetu Magufuli si alikuwa Malaika ee!!! Sawa
  6. LugaMika

    Ukosefu wa haki vyuoni

    Wazazi wanatuombea sana hususa wale wa familia za chini pale wanapoona kijana au Binti yao yupo chuoni, kwani imani yao atapata Elimu kisha kuwa na maisha bora. Lakini tatizo vuoni kunakuwa na mipango malidhawa ya Wakufunzi kukwamisha ndoto za vijana au Mabinti hawa. Tupia mbali rushwa kwani ni...
  7. LugaMika

    Pata vifaa vya kisasa na kwa bei za jumla na rejareja yaani Kmpyuta.

    Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo. Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ?? Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi. Sisi tunafanya kazi kwa wote. ★ ★★★ ★★★★★★★★★★★★★★★★★★ OFA OFA OFA OFA...
  8. LugaMika

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta, Petroli na Dizeli bei yapanda kuanzia Aprili 3, 2024

    Dollar Ndo sababu ya msingi sana inayofanya mafuta yapande? Huenda ikawa ndivyo,lakini tuombe kwa Serikali iwe na huruma . Kuliibuka kwa Ruzuku ya Mama Samia kwenye mafuta,Je! Wenye nayo waliichumua amma? Tanzania inaharibiwa na wachache sasa
  9. LugaMika

    Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Kwanza nianze na kuwapongeza nyote.Mawazo ni mazuri lakini tujitahidi tu tuhakikishe huduma inapatikana, na sio vifungo kwaajili ya matusi. Maana naona sasa wameanza na wanaowatukana na Sio changamoto zao
  10. LugaMika

    Kukosekana kwa umeme Usiku wa kuamkia April 1, 2024 kumbe shida ni Maji kuwa mengi Bwawa la Kidatu

    TANESCO imesema kukatika kwa umeme kumesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa kudhibiti kiwango cha maji kwenye mitambo ya Kidatu, na hivyo kushindwa kuzuia mtiririko mkubwa wa maji yanayoingia kwenye mitambo na kusababisha mitambo kujizima ghafla ili kujilinda. Hitilafu hiyo katika gridi ya...
  11. LugaMika

    Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

    Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba. Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi...
  12. LugaMika

    Kisaikolojia, wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wakorofi (wababe)

    Ni wana saikolojia wanasema😂🤣🤭
Back
Top Bottom