LugaMika
Member
- Mar 13, 2024
- 38
- 53
TANESCO imesema kukatika kwa umeme kumesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa kudhibiti kiwango cha maji kwenye mitambo ya Kidatu, na hivyo kushindwa kuzuia mtiririko mkubwa wa maji yanayoingia kwenye mitambo na kusababisha mitambo kujizima ghafla ili kujilinda.
Hitilafu hiyo katika gridi ya Taifa imesababisha maeneo mbalimbali nchini kukosa umeme kuanzia usiku wa kuamkia leo.
Hitilafu hiyo katika gridi ya Taifa imesababisha maeneo mbalimbali nchini kukosa umeme kuanzia usiku wa kuamkia leo.