Recent content by gearbox

  1. G

    Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Diddy kayatimba, kwa sasa hana uzito mbele ya system ya US, System imeamua na kuweka nia. He messed with the wrong crew
  2. G

    Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Diddy kayakanyaga, jela inamtamani zaidi, ni suala la muda tu anaenda kuungana na R Kelly. tutegemee kesi kibao za "me too"
  3. G

    Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    Tupe mifano zilivuja lini mitandaoni mfano humu jamiiforums kwenye jukwaa la michezo ? Hapa bongo penyewe tunajua kuna wachezaji wanacheza hii michezo ya kujifungisha huwezi kuzikuta hizi siri zinazagaa mitandaoni, ikitokea hivyo Fifa wakijua wanaweza kufungia mpaka timu.
  4. G

    Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    sasa hao ni wachezaji wamo ndani ya team inakuwa siri ya wachache sana haipaswi kuvuja nje maana ikivuja tu ni kesi nzito sana hii, sio vitu vya kuvujisha kwa watu mtaani waviuze kwa elf 20, Mfano ile mechi ya Simba kupigwa 5G unakuta ilikuwa ni siri ya Manula na watu watatu tu, sio vitu vya...
  5. G

    Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    hizi ni stori kama za kutafuta dhahabu alizoficha mjerumani milimani. una ushahidi ?
  6. G

    Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    Hili siamini mkuu labda uwe na connection ya wachezaji wa timu wakuhakikishie watajifungisha Kwa sasa labda uniambie Bayer Levikusen ntakuelewa lakini nae anapewa odds ndogo sana, makampuni ya kubeti yashaziba huu mwanya
  7. G

    Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    Nilitembelea website flani wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 80 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game wanazoweka ni chache zenye odds za 1.01 yani ukiweka laki ushinde buku lakini ukija kwenye website zao wanadanganya...
  8. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Hata Ustadhi / mchungaji kipelekewa mtoto mwenye ulemavu haoni baraka, anasema kuna pepo inabidi alikemee
  9. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    You are Evading questions by asking questions, very weak approach
  10. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ?
  11. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    unakwepa sana swali kwa maelezo mengi, watoto walemavu ni baraka au laana ?
  12. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    kwa maelezo yako kupata mtoto mlemavu ni laana ?
  13. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ? Naleta hii mada sababu inafikia kipindi wazazi wanafungia watoto wao wenye...
  14. G

    Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

    hio inakuwa vita nyingine kwa mama watoto kukuona humjali hana thamani
Back
Top Bottom