UTANGULIZI
Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya afya ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Hapa chini...
Mamba anajulikana kwa kuwa na machozi ya kinafiki sana, unaweza muona analia machozi yanatoka kumbe ana zuga.
Sasa na sisi kwenye Kupambana na uharibifu wa Mazingira ni bora tukaacha unafiki kama...
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini...
Kwa Hapa nchini Tanzania ambayo Ili kuwa na mfumo wa kijamaa, kutoka TANU mpaka CCM.
CCM Bado Ina urafiki na nchini ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa kama washirika wake wakaribu. Na china...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya michezo ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo na mafanikio ya sekta hii. Hapa chini, nitaelezea...
UTANGULIZI.
Hatupaswi kulalama kuhusu ajenda ya uchumi wa viwanda na mchango wa kisekta ikiwa tunu ya utamaduni ya muziki adhimu wa Singeli haujengewi mpangokazi mahsusi ili kuboresha katika...
Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea...
UTANGULIZI
Dunia ya sasa na inakoelekea kuna kukua na kuenea kwa sayansi na teknolojia kwakuwa ina umuhimu sana katika kuleta mafanikio na maendeleo, mambo mengi yanatatuliwa kupitia teknolojia...
Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya...
Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika...
Ugonjwa wa UKIMWI sambamba na maambukizi ya VVU kwa dunia ya sasa siyo tishio kubwa sana kama ilivyokuwa miaka ya themanini kipindi ugonjwa huo ulivyoingia. Hii imekuja baada ya ujio wa ARV ambazo...
Zaidi ya mara moja tumeona Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikionesha kuwa imekusanya mapato Zaidi ya maalengo yao. Hali ambayo kwa haraka inaweza kuonesha kuwa TRA wako vizuri kwenye ukusanyaji...
Haki ya kuandamana mara nyingi hukutana na jeshi la polisi, na kusababisha vurugu na kukamatwa bila sababu. Mamlaka na viongozi wa kisiasa pia wanayachora maandamano kama, vitendo vya makusudi vya...
Maisha ya uchakarikaji na utafutaji kuleta mkate wa kila siku katika familia ni hitaji lisilo na ukomo katika maisha ya mwanadamu.
Hali hii imesababisha mgawanyo wa majukumu katika malezi na...
Habari wapendwa wana Jf wenzangu.
Awali ya yote nipende kusema, Watanzania sio waaminifu (na mimi nikiwemo). Hili tatizo sijui limesababishwa na nini lakini imani yangu inanituma kuamini ya kuwa...
Teknolojia imekuwa na faida kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi wa dunia nzima. Sasa hivi, teknolojia imeendelea kuboresha maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na utawala bora na uwajibikaji katika...
Mapenzi na pesa
Mapenzi na pesa, ni vitu vilivyokaribiana sana
Ni viwili tofauti, lakini vinavyokuzana.
Mapenzi huchochea moyo, huufanya uchome moto,
Pesa huleta faraja, huyapamba maisha
Mapenzi...
UTANGULIZI
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vitendo viovu vya kulawiti, ama kuwabaka watoto wadogo, na vitendo hivyo vimekuwa vikifanywa na watu wa karibu walioaminiwa na kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.