Leo tarehe 21 Mei 2024 ukumbi wa Bali katika ukumbi wa Bali International Convention Center nchini Indonesia Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani...
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
20 May 2024
Ikungi, Singida
Ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi
https://m.youtube.com/watch?v=w8L0W7rtMX8
Msemaji wa...
Alhamisi, Aprili 25, 2024
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
Dr Hussein Mwinyi mhitimu wa Degree ya uzamivu inayohusiana na mwili wa binadamu ni physician mbobezi kabisa ni mtu makini anayejituma mpenda haki, mtulivu asiye na makundi anachojua ni...
Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa Rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano.
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama. Iliasisiwa kwa maono kimo cha...
Hapa nataka kuwauliza watunga Sera na Vyama vya Siasa..., ila kabla ya yote kwanza ninanukuu Babu wa Chama Tawala cha Sasa kilivyosema na kilivyokuwa kinaamini.... (Extract kutoka Hotuba ya...
Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"
Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya...
WAZIRI AWESO ABAINISHA MIRADI YA MAJI ILIYOKAMILIKA NA INAYOENDELEA
"Wizara ya Maji imekamilisha miradi mikubwa na ya kimkakati ikiwemo mradi wa maji Arusha ambao umeongeza uzalishaji wa maji...
WIZARA YA MAJI KUANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA GRIDI YA TAIFA YA MAJI - WAZIRI AWESO
Abainisha kuwa wizara imefanikiwa kukwamua miradi 157 kati ya miradi 177 ya maji vijijini iliyokuwa na...
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti...
Inaelezwa kuwa Mradi mkubwa wa kuvuna gesi asilia wa Lindi LNG huenda ukaota mbawa na kuyeyuka kufuatia mkwamo Mpya uliosababishwa na milolongo ya majadiliano isiyoisha ambapo timu Mpya ya...
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda...
Wakuu kwema,
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta...
Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000
Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000
1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000
2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000
Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000...
Wadau hamjamboni nyote?
Niwape pole Ndugu zangu
Kwa sisi watu wa hali ya kawaida na Imani tofauti naomba wajuzi mnijuze utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi/ pole na kushiriki mazishi ya...
Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,,
Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu?
Warioba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.