ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,583
Inaelezwa kuwa Mradi mkubwa wa kuvuna gesi asilia wa Lindi LNG huenda ukaota mbawa na kuyeyuka kufuatia mkwamo Mpya uliosababishwa na milolongo ya majadiliano isiyoisha ambapo timu Mpya ya Majadiliano ya Serikali imeibua madai ya Kupitia upya Baadhi ya Vipengele.
Mradi huo ambao ulikuwa umekwaman Kwa awamu 2 zilizotangulia,ulipigiwa chapua na Rais Samia ambae alifufua majadiliano na kuwarudisha wawekezaji ambao walishautupilia mbali.
Licha ya juhudi hizo za Rais Samia Bado amekwaa kisiki hivyo Kuna dalili chache sana kufaulu Kwa mradi huo ambao ungemimina matrilioni Kwa mabilioni ya Dola Nchi ukikadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Trilioni 105($42bln).
Mapema Mwaka huu wawekezaji wakiongizwa na Kampuni ya Kimarekani walionya kwamba huenda wakajitoa kutokana na milolongo isiyoisha.
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1792499817639297241?t=q9ggbidfYQ_fpT-HclhssQ&s=19
My Take
-Magadi soda umekwama
-Liganga&Mchuchuma umekwama
-Bagamoyo Port imekwama
-Na Lindi LNG inaenda kukwama.
Itikadi za Kijamaa zinalitafuna Tiafa.Huwezi pata 50/50 hujaweka mtaji, teknolojia,utafiti Wala huna soko.
Kifuatacho ni kudodewa maana Dunia inahama Kwa Kasi kutoka kwenye Nishati chafu za Mafuta na gesi inaelekea Kwenye Nishati safi hususani Umeme na Hydrogen.
Mozambique ambao viwanda vya LNG vinaendelea na ujenzi Wana gesi nyingi kuliko Tanzania lakini mbona hatusikii milolongo isiyoisha?
Pole sana Rais wangu Samia ,hii ndio Tanganyika na Hawa ndio wajamaa(wanyonge) wanataka kuvuna ambapo hawakupanda 😁😁😁😁.
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1792525316306448805?t=DsgaiFSV1Acj_SLJA2GwUw&s=19
Pia Soma Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa
Wawekezaji wanataka sera zinazotabirika sio upuuzi wa uzalendo na ujinga mwingine wa unyonge and Suhh ujamaa nonsense.
Mozambique LNG progress 👇👇