Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
GWAJIMA AMEATHIRIWA NA FILAMU ZA HOLLYWOOD "FICTION MOVIES" PAMOJA NA MAMBO DHAHANIA.
Na, Robert Heriel.
Gwajima anaonekana ni muumini mkubwa wa filamu za kimarekani "Hollywood", hasa zile...
Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022.
"Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu...
Ameandika Malisa GJ.
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu chanjo ya Corona katika nchi nyingi za Afrika. Baadhi ya viongozi wa dini wamedai chanjo hiyo inalenga kupunguza idadi ya watu weusi...
Tunapoona Marekani wakitoa hamasa kufikia kulipa dola mia moja sawa na laki mbili na ishirini plus ya Tanzania kwa mtu kuchanjwa inafanya nijihoji kwanini wao ulimwengu wa Kwanza wanadhani watu...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25...
Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili.
Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, hivi ni baadhi ya kauli zake:
"Tunajua kwamba wanawake wengi...
Imekuwaje Kiwanda cha chanjo ya Covid kimepelekwa Kenya ilihali mama akiwa Ulaya alitangaza kuwa kitajengwa Tanzania. Je wajenzi walimdanganya au hakusikia vizuri?
Je, aliambiwa kitajengwa...
Tokea huo UVIKO-19 uanze, mimi nilikuwa na mashaka sana.
Mashaka hayakuwepo kwenye uwepo wa ugonjwa wenyewe.
Mashaka yangu yalikuwepo kwenye ukali wa ugonjwa.
Toka awali kabisa nilisema kuwa...
Fedha za Mpango wa Ustawi na Mapambano dhidi ya UVIKO-19
Anaandika Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu
Ofisi ya Rais TAMISEMI tuliidhinishiwa jumla ya TZS bilioni 512.1. Kati ya hizi:-
TZS bilioni...
Picha: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi
Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa hivi sasa hakuna mgonjwa hata mmoja wa Ugonjwa wa Uviko19 (Covid-19) japokuwa hawawezi kuweka wazi kama ugonjwa huo...
Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine.
Rais Samia amesema hayo...
Kuanzia Januari 29 hadi Februari 6, 2022 visa vipya 252 vya COVID19 vilibainika kati ya watu 8,529 waliopimwa huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na maambukizi 184.
Tangu Mlipuko kuripotiwa...
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor...
Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja.
Pia, imesema...
Kwa nia njema naikosoa serikali pale ambapo naona imekosea, lengo ni kujisahihisha wakati mwingine.
Hapakufanyika upembuzi mzuri wa wapi na wapi madarasa yajengwe. Ukweli mchungu ni kuwa...
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,
Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na...
===
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa...
Wanabodi
Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri.
Kwenye visions za trends readings zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.