Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema waliochanjwa chanjo ya Uviko-19 mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita hawataruhusiwa kwenda hijja hadi watakaporudia kuchanja chanjo hiyo. Kauli...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali imetangaza mwenendo wa ugonjwa wa Uviko-19 nchini kwa kipindi cha Oktoba 29 hadi Desemba 2 huku takwimu zikionyesha wanaougua wakiongezeka. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G . Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije. Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es...
24 Reactions
113 Replies
10K Views
Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema...
15 Reactions
273 Replies
25K Views
Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona! Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona? Agizo...
14 Reactions
192 Replies
11K Views
Waziri Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa UVIKO19 bado upo na namna nzuri ya kuepuka maradhi hayo ni kupata chanjo hivyo ametoa wito kwa wananchi kupata chanjo ambazo zinaendelea kugawiwa bure...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Kwa mwezi mzima napokea SMS 10 hadi 15 kwenye simu yangu kwa siku zinazosomeka hivi: " ndugu Shitunguru Bunzali Joseph Umefanikiwa kupata chanjo ya UVIKO- Janssen. Unaweza kuangalia cheti chako...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza mkoani Tanga wakati akifungua kikao cha viongozi wa Dini pamoja na wadau wengine maendeleo kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari Kanisa Katoliki Jimbo la...
51 Reactions
367 Replies
34K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona. Naomba uanze bandiko hili kwa hii clip Kufuatia Umuhimu...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo. Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa...
16 Reactions
202 Replies
7K Views
TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19. Leo 20:15hrs 06/07/2022 Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma...
3 Reactions
16 Replies
887 Views
Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo. Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali...
1 Reactions
8 Replies
722 Views
Wakuu Salaam, Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda...
10 Reactions
67 Replies
11K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi Akizindua Mpango...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Amani kwenu Wana JF! Kichwa cha habari chajieleza. Nchi nyingi za ulaya zimeamua kuondoa sheria ama kanuni za kiafya za kujilinda na uviko. Kwa sasa hakuna barako, hakuna kujifungia na kujitenga...
2 Reactions
8 Replies
870 Views
Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga. Rais wa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi 👇 Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna sitofahamu inaendelea wilaya ya Tunduru-Ruvuma. Akina mama wakiwapeleka watoto kliniki wanazuiwa kupewa kadi za kliniki mpaka wachanjwe wanapata usumbufu kupata huduma za msingi. Hapa...
0 Reactions
5 Replies
420 Views
Back
Top Bottom