Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995? Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi. Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja...
16 Reactions
111 Replies
18K Views
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi. Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha...
26 Reactions
826 Replies
83K Views
Baada ya Dr. Magufuli kufanya mkutano jimbo la Bukoba Mjini, leo atakuwa na mkutano Mjini Kayanga Jimbo la Karagwe mkoani Kagera. Updates na picha nitaweka kadri ya uwezo wangu... Akifanya...
9 Reactions
255 Replies
25K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo...
12 Reactions
263 Replies
44K Views
Habari wanabodi Nyota ya Katibu mkuu wa CHADEMA inazidi kung'aa baada ya mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam Proffesor Benson Bana kusema kwamba mwanasiasa mwenye nguvu kwa sasa anayeweza...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano...
10 Reactions
764 Replies
74K Views
Mwandishi wa makala hii ni Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA. Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania kwa kutumia...
10 Reactions
89 Replies
11K Views
Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995. Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe. Kwa jinsi NEC inavyoendesha...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako...
31 Reactions
70 Replies
8K Views
Hii ni kauli ya mgombea urais wa CHADEMA mnamo mwaka 2015 mzee Lowassa kwamba wapinzani wakishindwa kuing'oa CCM mwaka ule wa 2015 basi itawabidi wasubiri miaka 50 ipite Yaelekea Tundu Lissu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa chama hicho kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Tanzania utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Tanzania ina vyama 22...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Mbeya leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa.
22 Reactions
645 Replies
77K Views
Magufuli hafai kuwa rais kwa sababu hizi, 1.Sio mwanasiasa.Tanzania bado haipo tayari kuongozwa na mtu asiye mwanasiasa.Tanzania inahitaji kiongozi mwanasiasa anayeweza fanya lobbying na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Tanganyika Ilipata Uhuru Mwaka 1961 Japo 1964 Uhuru Kamili Wa Nchi Tanzania Ukapatikana,ingawa Tanzania Ilipata Mwanaume Mwanasiasa Mwenye Heri Julius Nyerere Mwaka 1958 Alivyochaguliwa Kuwa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
ILANI YA CCM KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015 1. Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
371 Replies
52K Views
Tunapenda kuwataarifu wanachama wetu na umma wa Watanzania kuhusu masuala yafuatayo: Mwenendo wa Kampeni za CCM Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, na Mgombea Mwenza, Ndugu Samia...
19 Reactions
583 Replies
46K Views
Tangu, nchi hii ya Tanzania ipate Uhuru imepita katika vipindi mbali mbali vya uongozi. Katika vipindi hivyo tumeshuhudia viongozi wenye sifa tofauti. Lakini walikua na moja ya sifa ambayo ilikua...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
DKT.Magufuli akiwa Singida na baadhi ya wadhamini wake.
6 Reactions
78 Replies
14K Views
Watanzania wenzangu! Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa...
2 Reactions
127 Replies
24K Views
WanaJamvi Ninatangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2015 katika Jimbo la Kyerwa-Kagera. Uwezo wa kuwa mbunge ninao na nia ninayo. Mbunge wetu wa sasa Mhe. Yustace Katagira, amekuwa...
6 Reactions
58 Replies
9K Views
Back
Top Bottom