Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

HOTUBA YA MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAGANA NA BUNGE NA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA BUNGE...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kuna uwezekano mkubwa ikitokea Magufuli kwa bahati mbaya au CCM ikitumia umafia kuiba kura halafu ikaingia Ikulu atajikuta anapata wakati mgumu sana kuongoza. 1.Hana uwezo na busara za kiuongozi...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Wanabodi, Tuache siasa, na tusemezane au tuambiane ukweli, iwapo CCM itashinda tena uchaguzi wa mwaka huu, ushindi huo wa CCM, jee utatokana na Watanzania kufanya informed decision kufuatia CCM...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato. Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa Segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli? Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini...
13 Reactions
81 Replies
11K Views
Sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba na anatarajia kutangaza nia kuanzia saa 9 mchana wa leo na atafanya hivyo live kupitia star tv akiwa Chuo cha Mipango, Dodoma. Muda: saa 9 Alasiri hadi Saa 12...
16 Reactions
1K Replies
133K Views
Makubaliano ya wawili hawa ambayo ni yamdomo chini ya viapo (Gentlemen agreement) ni suala linalotazamwa na wahusika hawa kwa jicho kali sana, msingi wa aina hii ya makubaliano unasimama katika...
31 Reactions
138 Replies
30K Views
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha...
7 Reactions
280 Replies
33K Views
Kuanzia 1995,2000,2005,2010, Kuna Wenye Record Mbaya, Ebu Futa Record Hiyo Mpgie Magufuli Angalau Upate Tick Moja, Na Wale Ambao Ni Uchaguz Wao Wa Kwanza Mpe Magufuli Ili Usianze Na Record Mbaya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
MVURUGANO mkubwa ulizuka katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya wajumbe wanaomuunga mkono Edward Lowassa, kubaini jina lake limekatwa. Hali ilikuwa hivyo baada ya...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Jina Apson Mwang'onda si geni kwenye mitandao ya kijamii. Umaarufu wake haukutokana na utendaji kazi wake akiwa kwenye idara nyeti hapa nchini, la hasha. Umaarufu wake...
2 Reactions
94 Replies
19K Views
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam. Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema...
5 Reactions
144 Replies
21K Views
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi. ====== UPDATES; 00:15HRS Aliyekuwa mbunge wa...
27 Reactions
475 Replies
73K Views
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina...
15 Reactions
203 Replies
23K Views
CCM ina matatizo mawili ambayo yanaondoa umoja. La kwanza ni defection ya Lowassa. Tatizo la pili ni pale Kamati ya Usalama ilipowachagua watu watano wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu,na Rais...
11 Reactions
68 Replies
8K Views
This was general election 2015...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wana-JF habarini. Mimi kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu, mnalichukuliaje suala la mgombea urais kupitia CCM kumwambia Antony Diallo kuwa atamlinda saaana kupita maelezo pindi...
1 Reactions
62 Replies
10K Views
Mimi nilikuwa muumini makini wa Chama makini cha upinzani kilichojijenga taratibu mpaka kuonekana kuwa pengine kinaweza kuwa mbadala wa CCM. CHADEMA ilikuwa taratibu bila misukosuko mingi mpaka...
19 Reactions
209 Replies
20K Views
Wanabodi Siasa za Tanzania ni kizungumkuti!. Ni siasa za ubabe, uongo, chuki, fitna na kukomoana badala ya kuleta maendeleo. Chama tawala CCM ni chama dola, hivyo kinatumia uchama tawala wake kwa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Leo Katika Matembezi yangu kule kigamboni kila weekend huwa napitia huko south beach, Mkononi nilikuwa na Gazzet lenye picha kubwa ya Magufuli, nilipofika maeneo wanapo camp wachina wanaojenga...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom