pesa

  1. Teslarati

    Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

    Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba sababu ndo nnavyowatega warembo wa aina hio. Sasa kumbe binti kanikariri, 1 week ikapita nikarudi tena...
  2. matunduizi

    Walimu wengi wa ndoa ni wachonganishi wa familia: Pesa zote zinapaswa kusalimishwa kwa Mume kichwa cha familia

    Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana. Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
  3. mnyandzombe

    Hivi ni kwa wanawake wengi hawaamini kama waume zao anaweza ishiwa pesa?

    Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha maisha. Lakini pia nimesikia mara kadhaa wanawake wanasema ''mwanaume haishiwi pesa''. Kwa utafiti...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Jamaa kajilipua kwenda kutoa wenge Serena Hotel, sasa anaikumbuka pesa aliyoitumia anajilaumu

    Jamaa ni bodaboda hapa Dar es salaam, juzi kaenda na boda yake mpaka Serena Hotel ili akatoe nuksi a.k.a kuushitua umaskini. Kaagiza Biriani 40,000 na soda ya Mirinda kwa sh. 6500 jumla kuu ikawa sh. 46000. Kapanda boda karudi kijiweni kwake na kuanza kujisifu. A few moment later akaanza kujutia...
  5. Ncha Kali

    Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

    Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Huyu mtoto alijifanya mjanja, pesa anataka mzigo anasema mpaka tuzoeane kwanza

    Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi? Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa...
  7. The bump

    Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  8. Cheology

    Tigo pesa wananikata pesa bila mimi kuidhinisha. Nikiwapigia wanababaika.

    Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu. Mfano Hii ni kifano tu na sometimes nakatwa nastukia baadae. Msaada wenu ili niset simu yangu isiweze kufanya hii miamala
  9. Wimbo

    Betting, michezo ya kubahatisha ni dhambi hata kama inaingizia nchi pesa nyingi

    Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa nini...
  10. Gulio Tanzania

    Maisha ni mafupi ila vijana tujitahidi kutunza pesa

    Vijana tujitahidi kutunza pesa kuna magonjwa,Kuna ajali Kuna uzee vijana wanatembea na msemo wao wanaosema kuwa wanaokula ujana maisha ni mafupi ukiwakuta huko sehemu za starehe wanakunywa pombe kifo sio jambo rahisi hivyo kuondoka duniani hiyo yote watu hawapati muda wakutembelea wagonjwa...
  11. HONEST HATIBU

    Unatumiaje JamiiForums kujiingizia maokoto?

    Hivi Unatumia njia gani kuingiza maokoto kupitia hili jukwaa la Jamiiforums Tupe madini
  12. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Viongozi serikalini wanajikopesha pesa za miradi mfano afya nk....

    Kuna baadhi ya Viongozi wa serikalini Tanzania ni warafi kwelikweli yaani pamoja na kupewa posh na mishahara bado wanajikopesha pesa za miradi zinazotolewa za wafadhiri, Leo imekamilika wiki ya sita toka vijana waliopata ajira za mikataba lakini hawajalipwa chochote zaidi ya kuwapigisha...
  14. Mwafrika mmoja

    Wabongo wanapiga pesa YOUTUBE

    Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin ! Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
  15. D

    Wasanii hujifanya wana pesa, wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango

    Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
  16. Andazi

    Nisaidie kutoa pesa kuleta kwenye account yangu tanzania

    Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to withdraw i have $70 i need it to pay some stuffs
  17. R

    Bw. Felex G. Kashindye anayetuhumiwa kugawa pesa kwenye uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini ni nani?

    Ukiwa Tunduma unapata taarifa kwamba tuhuma zilizotolewa na Lisu kuhusu vita ya rushwa kwenye uchaguzi zimetokana na kusambaa kwa taarifa za mfanyabiashara anayejiita Felex Kashindye anayedaiwa kuzunguka kuwatafuta wajumbe na kuwaahidi mgawo. Lengo kubwa na mtu huyu na chanzo cha fedha...
  18. R

    Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

    Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akitahadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika...
  19. Doji MD

    Pesa Madafu: Hayo mengine sisi hatujui, muhimu uwe na pesa tu!

    Habari wakuu, natumaini mapambano ya maisha yanaendelea… Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajihidi nieleweke, bila kupoteza wakati, leo ningependa kushare jambo kuhusu pesa za moto’ (real story) Jamaa tumuite Hassan’ alichukuliwa na boss mmoja kutoka kijiji nakuletwa mjini kuuza Duka, alifanya...
  20. M

    Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
Back
Top Bottom