Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU:
UTANGULIZI
Kuanzia...
Habari wakuu,
Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.
Kutokana na mada nyingi kuwa na...
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA...
1. Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
Napenda kufahamu jinsi wafanyabiashara wanavyonunua mbuzi toka kwenye minada mbalimbali eneo la Gairo, Kilindi, Handeni , Kilosa na Dodoma.
Kisha kuwasafirishq kupeleka kwenye kiwanda cha Nyama...
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi.
Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya...
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB
Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi...
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...
Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni...
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)
Ni aidha
jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
Mbinu ya kukuibia wateja kwa...
Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well.
Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha...
Utangulizi.
Kuanza kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo imekuwa ni safari ndefu sana. Kwa wengine, imekuwa ni safari ya miaka mitatu. Kwa wengine, imekuwa safari ya miaka mitano. Na wengine...
Habari Wana jf.
Naomba kueleweshwa kuhusu makadirio ya Kodi. Nimeanza biashara ya vipuri vya pkpk takribani mwaka mmoja sasa.
Mara ya kwanza kwenda t.r.a nilikadiliwa 89000 na mwaka huu nimerudi...
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.
KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO
Ni...
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU.
1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je, umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na, ulifanyaje kufika hapo.
Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo...
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es...
Falsafa ya kujenga utajiri kupitia kipato endelevu ndiyo imeonekana kuwa ni falsafa ya kweli kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Falsafa hii inafaa zaidi kuitumia kujenga utajiri ukilinganisha na...
Habari Wana forum,
Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo...
Ndugu na marafiki, habari za Jumamosi ya leo, Tarehe 02/09/2023.
Ndugu zangu, leo napenda kutoa elimu moja juu ya sarafu za mataifa mengine, bila kusahau sarafu yetu ya shilling.
Zipo sarafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.