Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mbuzi

lufungulo k

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
2,568
2,022
Napenda kufahamu jinsi wafanyabiashara wanavyonunua mbuzi toka kwenye minada mbalimbali eneo la Gairo, Kilindi, Handeni , Kilosa na Dodoma.

Kisha kuwasafirishq kupeleka kwenye kiwanda cha Nyama pale Kibaha na malipo yao ikihusisha mchakato mzima.

Kwa kiasi fulani nimejikuta kuvutiwa na biashara hii.
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
Ahsante, mkuu basi tunasubiria ufafanuzi
 
Hii biashara Kuna Uzi uliandika vizuri sana na Mimi nilitamani kufanya tatizo huko pakupata hao mbuzi maana uliandika urangini ndio Kuna mbuzi wazuri
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
Tuelezee boss me nilifanikiwa kwenda mpaka pale kiwandani na nikakutana na afisa manunuzi wa pale
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
Kaka naomba namba yako unisaidie hizi info na mm maana kiwandani nilishaenda ila baada ya kwenda singida kuona bei ya mbuzi nikaona kama itanikata so nauhitaj wa kufundishwa hii kitu plz
 
Kaka naomba namba yako unisaidie hizi info na mm maana kiwandani nilishaenda ila baada ya kwenda singida kuona bei ya mbuzi nikaona kama itanikata so nauhitaj wa kufundishwa hii kitu plz
+255695472265..ukipata taarifa mkuu nicheck tushirikiane kwa hyo mishe.. Hata mimi nilivutiwa na hii biashara
 
SOLSTAR AC ||BTU 12,000|| Inverter|| 980,000
 
Attachments

  • IMG-20240509-WA0151.jpg
    IMG-20240509-WA0151.jpg
    103.1 KB · Views: 7
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
Kuna dalili za mtu kupigwa na kitu kizito hapa. Tangazo lipo creative sana.
 
Back
Top Bottom