michezo

  1. lugoda12

    Huyu ni Kylian Mbappe au sio?

    Bado tunabishana kijiweni wapo wanaosema huyu ni Kylian Mbappé wapo wanaosema huyu si Kylian Mbappé kwa ukali wa macho yako, huyu ni yeye au si yeye?
  2. Wimbo

    Betting, michezo ya kubahatisha ni dhambi hata kama inaingizia nchi pesa nyingi

    Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa nini...
  3. R

    Hivi Kwa sasa, Kuna biashara yenye faida na mzunguko mkubwa kama ya Michezo ya kubahatisha nchini?

    Salaam,Shalom!! Twende haraka kwenye mada, biashara ya Michezo ya kubahatisha Kwa sasa imetapakaa Nchi nzima Hadi vijijini, na sijawahi kushuhudia wahusika wakifunga biashara hizo Kwa kufilisika, Betting haihitaji gharama kubwa katika uwekezaji, akishanunua mashine na kujenga ofisi hapo hapo...
  4. Mchochezi

    NMB yakabidhi jezi kwaajili ya michezo ya Majeshi

    Benki ya NMB imekabidhi jezi kwa Baraza la Michezo kwa Majeshi Tanzania kwajili ya mashindano yatakayotimua vumbi kuanzia Julai mpaka August mwaka huu. Jezi 154 kwa Football Jezi 84 kwa Basketball Track suit 32 Tshirt 250 Vifaa hivyo vyenye thamani ya Milioni 16 vitasaidia ufanyikaji wa...
  5. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya ligi mlisema utafuatilia Rushwa kwenye michezo haswa kipindi hiki ligi ipo mwishoni. Je, mmeona goli walilonyimwa Tabora United?

    Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi. Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu TFF na...
  6. Mwafrika mmoja

    Wabongo wanapiga pesa YOUTUBE

    Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin ! Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
  7. Webabu

    Marekani yaanza kujibabadua kutoka ubashiri wa michezo (Betting).Athari zake zinaharibu uchumi na kutesa watu

    Kwa ushamba wa nchi za kiafrika hawatendi mpaka kitu kiwe kimeanzia kwa wazungu na hawaachi kutenga mpaka wazungu waseme kina madhara. Michezo ya kamari katika michezo imekuwepo kwa miaka mingi nchini Marekani na hata kutungiwa sheria na majimbo mbali mbali ili ifanyike bila matatizo.Hata hivyo...
  8. M

    SoC04 Ujenzi/upanuzi wa madarasa mapya ya shule za kata kila mwaka na kubana maeneo ya michezo

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu wanazoishi. Hii imeondoa adha ya ukatili wa kijinsia na kuwajengea weledi watoto. Hoja yangu ni Hii...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atoa Vifaa vya Michezo Lubaga Sekondari Manispaa ya Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Christina Mnzava ameadhimisha sikukuu ya Muungano kwa kutoa VIFAA vya michezo ambavyo ni mpira wa miguu na mpira wa netball pamoja na jezi nzuri za kisasa za netball na football. Dkt. Mnzava akizungumza na qanafunzi na walimu wa shule ya...
  10. sinaham

    Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mimi si mshabiki wa mno Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya. Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano. Ni kama hizo. H Kwa mfano Bailey ammkomalia...
  11. R

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye wakaenda mahakamani kupinga kulipa mikopo hiyo. Kwa unyeti wa taarifa hizi ni wazi kwamba wapo watu...
  12. Lady Whistledown

    Waziri wa Michezo ashambuliwa kwa kujiweka kwenye Vipeperushi visivyo mhusu

    Waziri wa Michezo Ababu Namwamba ameshutumiwa kwa Mara Kwa Mara Kuweka Picha Yake kwenye Vipeperushi rasmi ambavyo havimuhusu Mfano: Vinavyowapongeza Wanamichezo au kuhusu Wizara yake Katika tukio la hivi karibuni, Wakenya hawakupendezwa na Waziri huyo kuposti kipeperushi chenye picha yake...
  13. U

    Tujivunie asili yetu: Tujuzane michezo ya jadi kwa makabila ya Tanzania

    Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo Michezo hiyo ni kama vile...
  14. Nehemia Kilave

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote . Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa...
  15. U

    Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya, Kwa machache nayoyajua: alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua...
  16. M

    Wafanyabiashara Zanzibar waunga mkono michezo bara kwa Hundi ya milioni 500

    Imetokea leo katika uapisho wa viongozi ikulu ya Dar. Kundi la wafanyabiashara kutoka Zanzibar wamemuunga mkono Rais Samia katika juhudi za kukuza michezo. Huu ni upendo mkubwa na kudumisha muungano wetu. Hundi hiyo inakabdhiwa TFF.
  17. U

    Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

    MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Ningekuwa mimi ndio Waziri wa Michezo ningejikita kujenga vyuo vya mpira wa miguu vitakavyo simamiwa na Taifa stars

    Kwanza kabisa mikakati yangu ingekua ni kuifanya Taifa starts ijitegemee kwa kujiingizia kipato chake yenyewe. Ningefanyeje kufanikisha hilo ningeomba bajeti kwaajili ya Taifa stars ijenge vyuo (Football academies) vya mpira wa miguu kila wilaya. Vyuo vitakavyo fundisha soka kwa watoto wadogo...
  19. Pfizer

    Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, imesaini makubaliano na Drum Beats kuendesha tamasha la utamaduni

    DODOMA Jumatatu Machi 25 2024: Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kampuni ya Drum Beats Carnival (T) Limited, ya Jijini Dar es Salaam zimesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo kampuni hiyo itaratibu Tamasha la Kitaifa la Utamaduni kwa niaba ya wizara. Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Back
Top Bottom