shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Excel

    Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

    Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
  2. I

    Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine zakwamisha shughuli kwenye kinu cha kusafisha mafuta nchini Urusi

    Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema Alhamisi, na kuongeza kuwa hakukuwa na majeruhi. Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege 13 zisizo na...
  3. F

    Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

    Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu Fanya kama unanisaidia
  4. F

    Kuelekea 2025 Mikutano ya CCM inayoendelea kufanyika kwenye stendi za mabasi ni kinyume na taratibu. Tusigeuze stendi za mabasi kuwa viwanja vya mikutano ya siasa

    Kumezuka mtindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mikutano ya hadhara kwenye stendi za mikoa za mabasi. Leo katibu mkuu wa CCM ndugu Emmanuel Nchimbi ameongoza mkutano wa hadhara katika stendi ya mabasi mjini Babati mkoani Manyara. Jumatano tarehe 5 CCM wamepanga kufanya mkutano wa hadhara...
  5. chiembe

    Chadema imemfanya Lissu kufilisika, enzi akifanya shughuli za uwakili, alikuwa ana mabilioni kwenye akaunti, sasa anatembeza bakuli

    Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea. Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela ya kununua gari. Atakuja kupata mjukuu aitwaye Majuto, na hapo bado ana nguvu, chadema watamtumia...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  7. Ed Kawiche

    Anatafuta kazi ama shughuli yoyote, inayohitaji vyeti ama isiyohitaji vyeti.

    Habari wakuu. Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa. Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.) Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
  8. Half american

    Vijana wa HALAIKI huwa wananufaika na kipi baada ya mafunzo na shughuli ya kiserikali kupita?

    Habari zenu wakuu. Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kama ilivyo kawaida kwa shughuli yeyote ile lazima yawepo maandalizi mazuri ili kuweza kufanikisha kwa ufanisi mkubwa. Moja ya...
  9. K

    Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
  10. Uzalendo wa Kitanzania

    Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

    Wadau hamjamboni? Hatimaye siri zimetoka hadharani Ushahidi mpya umepatikana unaothibitisha kuwa Serikali ya Iran ndiyo mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas na hadi kufikia Oktoba 7, 2023 walikuwa wamewapatia magaidi hao shs 500.000.000.000 sawa na Dola million 222 Mungu ibariki Israel Taarifa...
  11. U

    Watu hawa wanaongoza kutumia wataalam (ushirikina) kwa kuamini unafanya mambo yaende vizuri

    1. Wahalifu - Matapeli, wezi, mapusha, magendo, n.k. 2. wafanyabiashara kwenye masoko 3. Wadangaji
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
  13. Suley2019

    BASATA Watangaza kusitisha Shughuli za Sanaa na sherehe katika kumbi 504 Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA. Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani ya siku 14 kwa wadau wote ambao hawatatimiza vigezo vya kuhuisha vibali vya kufanya shughuli za...
  14. Mlundilwa Jr

    Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

    Wakuu habari, Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu zinazoniingizia kipato zinamkera. Nikawaida kukuta kwenye hizi nyumba za kupanga kukuta watu wakifanya shughuli mbalimbali za kuwaingizia kipato ili maisha yaendelee na kuweza kulipa kodi. kuna wengine ktk hizi nyumba za kupanga...
  15. Suley2019

    Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar. Mbali na kumfungia kuendesha shughuli za sanaa, pia imepiga marufuku redio na televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo...
  16. J

    Mjadala: Hoja za Wadau kuhusu namna ambavyo Mgawo wa Umeme umeathiri shughuli za Kijamii na Kiuchumi nchini

    Kukatika kwa Umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali Nchini kumeripotiwa kusababisha athari tofauti ikiwemo hasara kwa Wafanyabishara wanaotegemea Nishati hiyo ili kuendesha shughuli zao. JamiiForums kwa kutambua hilo, itaendesha Mjadala kupitia XSpaces, utaogusia Kero zinazotokana na...
  17. P

    Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
  18. Mjanja M1

    Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

    Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa. Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha...
  19. MK254

    Shughuli zaanza kuondoa raia Rafah, ambayo ndio ngome ya mwisho ya HAMAS

    Hapo Rafah ndiko wamekimbilia wote pamoja na uongozi, panahitaji usafi kwa mabomu.....raia waondoshwe ili kuepuka lawama za kupelekana ICJ........... Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has ordered the military to prepare to evacuate civilians from the southern Gazan city of Rafah ahead...
  20. Chance ndoto

    Eicher zilizoelezwa kuwepo kusaidia shughuli za mwendokasi zimeishia wapi?

    Baada ya kelele nyingi za uhaba wa usafiri, au niseme kero ya mwendokasi. Miruzi ilikuwa mingi kuhusu uwezekano wa Mwendokasi kupata utatuzi na utatuzi ni kuleta Gari mbadala zitazoingia mjini na kutoka? Hivi ile project iliishia wapi? Nilisahau kabisa leo nikaamua nisubiri mwendokasi Pale...
Back
Top Bottom