mbio

mBio is a bimonthly peer-reviewed open access scientific journal published by the American Society for Microbiology in association with the American Academy of Microbiology. It covers all aspects of the microbiological sciences, including virology, bacteriology, parasitology, mycology, and allied fields. The journal was established in 2010 with Arturo Casadevall as founding editor-in-chief.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Nilichokiona leo na mbio za mfungaji bora

    Pamoja na Aziz Ki kufunga, bado hakukuwa na jitihada na mikakati ya dhati kumtengenezea mazingira ya kufunga zaidi. Dodoma FC walipoteana jumla lakini wachezaji wa Yanga walionekana kuridhika na kutokuwa na njaa na nia ya kunisaidia Ki aweze kuongeza idadi ya mabao. Inaonekana Yanga hawana...
  2. L

    Mbio za silaha zinazoongozwa na Marekani zinaweza kuangamiza jamii ya binadamu

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Taasisi ya Utafiti wa Amani Duniani ya Stockholm, matumizi ya jumla duniani katika mambo ya ulinzi kwa mwaka 2023 yalifikia dola za kimarekani trilioni 4.44. Tathmini hiyo ya mwaka ya Mwelekeo wa Matumizi ya Kijeshi Duniani ya Taasisi hiyo...
  3. Bila bila

    Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza mwenge kitaifa ukiwa Askari mwenye cheo cha Sgt. Wewe kama Mtumishi wa Umma msomi unajua na...
  4. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  5. Erythrocyte

    Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

    Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari...
  6. MamaSamia2025

    Ninasikitishwa na kitendo cha mwanariadha mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon. Ni ukosefu wa uzalendo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Fainali ya Ligi kuu ya mbio za mabasi Tanzania (Sauli vs New Force/ Golden Deer) na lori la mafuta, serikali imejifunza nini?

    Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi Tanzania kati ya New Force/ Golden Deer vs Sauli. Maafa tumeanza kuyaona, leo mabasi yamegongana na Lori...
  8. Melubo Letema

    Jackline Sakilu Ashinda Mbio za Chongqing International Marathon, huko China

    Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, ameshinda leo mbio za kilomita 42 za Chongqing International Marathon, kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na moja na sekunde ishirini na sita (2:21:26) tarehe 24/03/2024 huko nchini China. Tukumbuke; Jackline...
  9. JanguKamaJangu

    Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  10. Balqior

    Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

    Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na...
  11. Mchochezi

    EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

    Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo. Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
  12. Kaka yake shetani

    Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

    Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu. Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia; "Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Pamoja na kuajiri watendaji kibao na mbio za mwenge CCM wameamua kumtumia Makomda kukusanya kero za wanannchi

    Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata. Makonda amegeuka kuwa mtendaji? Anazunguka nchi nzima msafara mrefu. Anatumia kodi za wanannchi. Hao Maded, Madc na MarC wanakazi gani? Mbio za mwenge za CcM zina kazi gani?
  14. Webabu

    Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

    Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja. Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
  15. matunduizi

    Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi. Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza. Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
  16. chiembe

    Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

    Kuna watu "wataalamu". Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani. Shikamoo Heche
  17. A

    Kuna slay queen jana nimempiga mjegenye mpaka akatoka mbio na mimi asubuhi nimejikuta nipo wodini siwezi kutembea! Mombi yenu wakuuembea

    Hili dada poa wa.kutoka hapa kitambaa cheupe kwa jina namuhifadhi slim flani yaani ana nyama kidogo na pia ana kishundu balaa kila siku nilikuwa namuambia ipo siku nitakuonesha na pia alikuwa ana dharau balaa kwamba mimi simpi kile kitu inapenda.aisee Basi bwana jana nikarnda pale kitambaa...
  18. Webabu

    Huku raia wakipigwa na Israel Mahmoud Abbas apiga picha na Blinken.Habari zilipovuja Blinken akakimbizwa mbio

    Shambulio la Hamas la oktoba 7 ilikuwa ni sababu na kisingizio cha Israel kutekeleza ajenda zake za muda mrefu nazo ni kuifuta kabisa Palestina. Ukweli huo unaonekana katika kuongezeka kwa mashambulizi ya jeshi la IDF na walowezi kwa kila raia wa Palestina maeneo aliko Mahmoud Abbas wa PLO...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  20. Melubo Letema

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay atua Sydney Australia kushiriki mbio za Sydney Marathon Jumapili ijayo

    Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili. Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wanariadha zaidi ya elfu arobaini (40,000) wanaotoka katika nchi 66...
Back
Top Bottom