timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tate Mkuu

    Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  2. G

    Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

    NB: pesa hizi hazihusiani na ubingwa, kila team inapewa Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
  3. NALIA NGWENA

    Dickson Job na Ladack Chasambi wametemwa kwenye kikosi Cha timu ya Taifa

    DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada. MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Jimbo Anunua Track Suits 100 na Jezi 16 Kwaajili ya Timu ya UMITASHUMTA ya Musoma Vijijini

    MBUNGE WA JIMBO ANUNUA TRACK SUITS 100 NA JEZI 16 KWA AJILI YA TIMU YA UMITASHUMTA YA MUSOMA VIJIJINI Timu ya UMITASHUMTA ya wanafunzi wa Shule za Msingi za Musoma Vijijini wako kambini wakifanya mazoezi yakiwa ni kwa ajili ya maandalizi yao ya mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Mara. Mbunge wa...
  5. SOVIET UNION

    Kuna ya Adidas, Nike na Puma kwenye timu ya Taifa ya Brazil

    Haya mambo ya jezi kumbe ni biashara kubwa sana? Brazili inapiga kama Bilion 80 kwa mwaka kutoka Nike.
  6. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya ligi inapaswa kubadili sheria ya timu ya ligi kuu kucheza play off na timu ya championship

    Kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la Jamiiforums kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi zinastahili pongezi maana siyo kazi nyepesi kutoka championship mpaka kupanda ligi kuu. Na pia nichukue...
  7. JanguKamaJangu

    Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao. Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
  8. Majok majok

    Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  9. sinaham

    Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

    TFf ilichuku.ie hili Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa. Tunastahili kichezeshwa wengi https://www.jamiiforums.com/threads/wachezaji-12-wageni-kwenye-timu-ni-sumu-kwa-taifa-stars.2179131/
  10. Hismastersvoice

    Kumbe timu ya KMC inayogharamiwa na manispaa ya Kinondoni si ya serikali!

    "Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM". Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM. Kutokana na pande zote mbili za nchi...
  11. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  12. N

    Hili suala la timu ya kigeni kuja na kila kitu chake na kukataa vitu vilivyoandaliwa kwaajili yao limekaaje kikanuni?

    Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
  13. Erythrocyte

    Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
  14. Melubo Letema

    Timu ya riadha yarudi mikono mitupu, wawasili kimya kimya

    Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣 Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha...
  15. kavulata

    Tatizo la Makocha wazawa Timu ya Taifa ni Malezi yao Mabaya

    Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima. Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
  16. kavulata

    Timu ya Taifa imechaguliwa kishabiki na kimaokoto zaidi kuliko uhalisia

    Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani...
  17. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aagiza Timu ya Watalaam Kurejesha Miundombinu Lindi

    BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja...
  18. Greatest Of All Time

    Timu ya Taifa ya Romania ilienda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa wakiwa wamepaka Bleach karibia wachezaji wote

    Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu. Mwaka 1998...
  19. MK254

    Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  20. Mjanja M1

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria atishiwa maisha

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast. Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
Back
Top Bottom