Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao.
Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara.
Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu..
Imekua...
Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi.
Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa njia ya simu yakitaja sababu ni ongezeko la gharama ya muamala kati ya simu na benki.
Wateja sasa...
Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma.
Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
Mgomo ni usimamishaji wa kazi, unaofanywa na Wafanyakazi kwa lengo la kumlazimisha au kumshurutisha Mwajiri wao au Mwajiri mwingine au Jumuiya ya Waajiri ambayo Mwajiri wao ni mwanachama, kukubali madai ya Wafanyakazi, au Mwajiri kubadili au kuacha madai yake dhidi ya Wafanyakazi, madai ambayo...
Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa.
Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo.
Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na...
Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto.
Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Wilaya ya Moshi Vijini, Ramadhan Mahanyu amesema amesema baadhi ya shule zimekuwa zikigomea kutoa ushirikiano kwa na timu za ukaguzi zilizotumwa na mamlaka za juu.
Katibu Mahanyu ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha walimu wakuu wa shule za...
Takwimu zinaonyesha uzazi kupungua sana miongoni mwa wazungu walioko Ulaya, America, Canada na Australia. Wengi hawataki kuzaa au wakizaa ni katoto kamoja au viwili wengine hawataki sababu wamejitumbukiza ndoa za jinsia moja.
Ieleweke kuwa wazungu ndio wenye DNA yenye. watu wenye akili mno...
Nisiwachoshe wanajamvi.
Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na...
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara nusura atolewe nje ya ukumbi baada ya kuonyesha kukaidi agizo la Mwenyekiti wa kikao alipomtaka akae chini. Hali hiyo imetokea ndani ya bunge leo Jumatano Novemba 9, 2022 wakati Bunge lilipoketi kama Kamati ya Mipango kwa ajili ya kujadili Mpango wa Taifa...
Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanasema hawatarusha ndege kufuatia mizozo ya muda mrefu kati ya muungano wao na usimamizi wa shirika hilo.
Marubani hao walidai kuwa madai yao mengi hayajatatuliwa, na hivyo wanaamua kuchukua uamuzi huo.
Kwa mujibu wa notisi yao watagoma ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.