Search results

  1. Stuxnet

    Tanzania ni ya kwanza katika Afrika Mashariki kwa Uhuru wa habari

    Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku #Kenya ikishika...
  2. Stuxnet

    Kanye Ataka Mapenzi ya Utatu (Threesome) na Michelle Obama

    Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle Obama. Kanye West has revealed his desire to have a threesome with a beloved First Lady: Michelle Obama. In an interview with Justin Laboy on The Download...
  3. Stuxnet

    Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  4. Stuxnet

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
  5. Stuxnet

    Chanzo cha uhaba wa dollars bara la Afrika na njia za kuondokana

    Nchi kadhaa za Afrika zikiwemo Kenya, Misri, Zimbabwe, Nigeria, Ghana, Tanzania na Zambia kwa sasa zinakabiliwa na uhaba wa dola za Marekani. Dola ndiyo sarafu inayotawala katika shughuli za kimataifa. Nchi hizi zinategemea sarafu ya Marekani kulipia madeni ya nje, bidhaa muhimu na pembejeo za...
  6. Stuxnet

    Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

    Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji. Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa: 1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System...
  7. Stuxnet

    Kichere umeingia Mtego wa Timothy Apiyo

    Timothy Apiyo (RIP) aliyekuwa Chief Secretary wa State House enzi za J K Nyerere aliwahi kufanya makosa Kama haya ya CAG Kicheere. Watendaji walileta mapendekezo ya kuboresha mafao ya kustaafu. Lakini yeye akayapiga chini enzi hizo yuko ofsini na ni kijana. Hatimaye kwenye miaka ya mwishini...
  8. Stuxnet

    Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB. Sababu zangu ni hizi:- 1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato 2. Mwaka jana akiwa...
  9. Stuxnet

    DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  10. Stuxnet

    Mgogoro wa Gaza: Haijawahi kuwapo nchi inayoitwa Palestina

    Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia. 1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina 2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa...
  11. Stuxnet

    Makonda ashangaa utekaji, Hando amshangaa Makonda kushangaa

    Mwanahabari maarufu Gerald Hando naye anamshangaa Makonda kushangaa utekaji. Ni nini watu hawa wawili wanachoshangaa?
  12. Stuxnet

    Video: Fatma Karume Adai Kuna Sustemic Failure Ndiyo Maana Wananchi Wanamfuata Makonda

    Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu. Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
  13. Stuxnet

    TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA". Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama...
  14. Stuxnet

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu ambao una mchanganyiko wa BAKWATA na wawakilishi wa iliyokuwa EAMWS. Na kwenye mkutano huo HAKUKUWA na...
  15. Stuxnet

    Masaa takriban 21 Mbezi Jogoo hadi Tangi Bovu hakuna umeme

    Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
  16. Stuxnet

    Janga la Hanang: Mama Samia ni Comforter in Chief wa Kiukweli

    Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief". Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya Kagera alisema "Serikali haikuleta tetemeko" na kisha akala fedha za waathirika wa tetemeko.
  17. Stuxnet

    Kuna Foleni Kali Kati ya Chalinze na Ruvu leo tarehe 08/ 12/ 23 mifa ya Saa 7 usiku

    Magari hayatembei both ways, je kuna sababishwa na nini? Ni zaidi ya nusu saa sasa. Tarehe ni 09/12/23
  18. Stuxnet

    Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
  19. Stuxnet

    Je, Postamasta wa Zamani Macris Mbodo atakuja kufanya kazi gani? Je, Mamlaka ya Uteuzi ilichemsha kumlinda Maharage?

    Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea...
  20. Stuxnet

    Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

    Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi. --- Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya: "Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha...
Back
Top Bottom