Stuxnet JF-Expert Member Feb 12, 2011 10,745 18,463 Dec 13, 2023 #1 Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 85,696 145,504 Dec 13, 2023 #2 Huku Boko tangu juzi mabomba yanatoa Maji ya tope
Simbamteme JF-Expert Member Sep 10, 2011 786 2,065 Dec 13, 2023 #3 Imenubd nije zangu sinza kuchill tu...walirudsha sa 9 ucku ukakaa kdg wakakata
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Sep 4, 2018 6,873 11,751 Dec 13, 2023 #4 Stuxnet said: Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp! Click to expand... Njooni huku rusumo tunatumia umeme wa jirani
Stuxnet said: Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp! Click to expand... Njooni huku rusumo tunatumia umeme wa jirani
Huihui2 JF-Expert Member Jan 5, 2012 5,428 8,236 Dec 13, 2023 #5 Mpaka sasa hivi bado umeme ni kitendawili maeneo haya. TANESCO toeni kauli
Snowpiercer JF-Expert Member Sep 15, 2014 2,327 4,115 Dec 13, 2023 #6 Mpaka utajuta kuwa raia wa nchi hiyo.